Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Hii biashara imesaidia vijana wengi kuacha punyeto..pia inasaidia madomo zege na wasio na uwezowa kuhonga kupiga mkia...kwanza wateja ni wengi kuliko wanawake
Zuia, zuia, zuia.

Kama ni ngono zifanyike kwenye maeneo yasiyojulikana kama hapo Sudan ya temeke.

Ni aibu kwa watawala na viongozi kuwa na maeneo rasmi ya soko la wanawake.

Kuzuia biashara ya ngono hakutaathiri UCHAGUZI 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni moja ya biashara kongwe sana duniani na hamna anaeweza kuizuia hata hiyo serikali haiwezi so relax acha watu waendelee na maisha waliyochagua ili mradi hawakuongezei wala Kupunguza kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nawasifu vidume, tuna mioyo migumu sana. Mtu katoka kuchapwa na kukojolewa, huenda hata kujiswafi vizuri hakufanya, wewe unaenda na kuchomeka hapo hapo. Inahitaji courage moja matata sana.
Eti wanasema hiyo ni kama halua haina makombo. Ukila wewe eti unaona kama ndio wa mwanzo🤔
 
Na wewe acha ushamba.
Proffesional ni kitu gani? Ni bora kufunga mdomo kuliko kuufunua kumbe kwenye meno kuna vipande vya makande. Neno ni "profession " yaani taaluma. professional (halafu angalia spelling) ni mtu mwenye hiyo taaluma. Hawa changu ungewaita "professional body sellers "
Ushamba ndio nini wewe maandazi..
 
Mimi huwa nawasifu vidume, tuna mioyo migumu sana. Mtu katoka kuchapwa na kukojolewa, huenda hata kujiswafi vizuri hakufanya, wewe unaenda na kuchomeka hapo hapo. Inahitaji courage moja matata sana.
Kumbe wewe hujawaji kuingia kwenye vile vibanda pale Tmk Sudan. Mle ndani kuna vitanda 2. Kimoja cha business kingine chake. Kwanini 2. Mara nyingi kile cha business kinakua kimelowa sababu kuna wateja wanaopiga katerero. Ndio maana godoro lake limechakaa maeneo ya matako. Pia kuna toilet paper ya kukuvulia mpira. Pia kuna kapu la kuhifadhia mipira na toilet paper zilizotumika. Pia kuna karai la maji liko mvunguni. Haya maji hutumika na madam kuosha kitega uchumi chake kila baada ya tendo.
Ondoa wasiwasi utaikuta isha pigwa maji na imekaushwa na taulo maalum hata chumvini waweza ingia.
 
Haupo serious mkuu, kuingiza dudu nisiweze nianze kupeleka ulimi wangu huko?

Asante kwa kunipa dondoo za huko though.
 
ukizuia viongozi , madomo zege watakula wapi?
Huyu dogo hajafika Dodoma wakati mawaziri wako Dodoma. Wateja wengi wa makahaba wa Dodoma ni watunga sheria na mapolisi (polisi na wanajeshi wengi ni madomo zege) ndio maana ukienda kwenye madanguro ya Kawe na Mtoni utakuta vitanda, magodoro, mablanket na neti ni mali ya JW. Wanajeshi wenyewe wanavipelekaga ili wapewe huduma hata siku hawana pesa.
 
Na sisi wanaume tumezidi kununua
Biashara siku zote hufanyika kwa mauziano. Yupo anayenunua kwa upande mmoja na muuzaji kwa upande mwingine. Kumbuka ukiuza utoe risiti kwa uliyemuuzia yenye kuonesha kodi iliyolipwa. Na wewe ukinunua hakikisha utapata risiti halali ikionesha kodi hiyo. Tatizo biashara hii inayozungumziwa si halali. Mapato yatokanayo na biashara hii ni haramu, na pindi unayotumia fedha hii, unaitakatisha. Serikali haiwezi kutoza kodi biashara hii hadi hapo itakapotunga sheria inayohalalisha ukahaba.
 
Back
Top Bottom