Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Dooh!!! Angu Serikalo enye vombo inne va bulinzi izuhie usentani. niyoo chuuu
 
Mkuu wewe pita zako tu maana hueleweki...ingekua hakuna watumiaji wasingekuwepo hao watu..demand ni kubwa kuliko unavyofikiria na hiyo serikali unayoisemea wazuie unataka wawe wanajipozea wapi kwa mama ako au...pita zako kimya kimya hata wakizianika hapo kama mbege..kuti acha uzwazwa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hasira zako ni kwasababu serikali haipati kodi kutoka kwa hao wanaojiuza au ni nini? Kwa hiyo wakilipishwa kodi utaifurahia hiyo biashara yao na hautakua na shida nao tena?

Lakini ni dots gani hizo uliunganisha mpaka ukajiaminisha kua "wanauza"? Ulienda kuuliza bei? Waliweka matangazo? Au ulipoona wanawake wanaota jua ukapata hisia kua wanauza?
Nilipofika kwenye ghetto la mwisho niliwakuta wananegotiate bei ndipo nikakumbuka kuwa niliwahi kusikia Sudan kuna vibanda vya ujasiriamali
 
Yule kamanda wa Dodoma aliwahi kuwakamata madada poa akaita hadi waandishi wa habari,sijui alifika nao wapi?
 
acha leo nkapige shot moja nikalale unono, maana hakuna jinsi na haka kajimvua kanakoendelea
 
Bonde la Baraka,
Kukomesha hii biashara ndani ya cku 3 ni uongo. yamemshinda Bashite utaweza wewe?

Rai yangu kuwa na mipango ya kuwasaidia hawa dada zetu.
 
Sasa hasira zako ni kwasababu serikali haipati kodi kutoka kwa hao wanaojiuza au ni nini? Kwa hiyo wakilipishwa kodi utaifurahia hiyo biashara yao na hautakua na shida nao tena?

Lakini ni dots gani hizo uliunganisha mpaka ukajiaminisha kua "wanauza"? Ulienda kuuliza bei? Waliweka matangazo? Au ulipoona wanawake wanaota jua ukapata hisia kua wanauza?
Hilo nalo neno.

Aaaah sesten in your prime ahahahhaha
 
Kwa taarifa yako tu "Ukahaba" ndio proffesional ya kale zaidi..ikitanguliwa na "ushushushu.."
Na wewe acha ushamba.
Proffesional ni kitu gani? Ni bora kufunga mdomo kuliko kuufunua kumbe kwenye meno kuna vipande vya makande. Neno ni "profession " yaani taaluma. professional (halafu angalia spelling) ni mtu mwenye hiyo taaluma. Hawa changu ungewaita "professional body sellers "
 
Mimi huwa nawasifu vidume, tuna mioyo migumu sana. Mtu katoka kuchapwa na kukojolewa, huenda hata kujiswafi vizuri hakufanya, wewe unaenda na kuchomeka hapo hapo. Inahitaji courage moja matata sana.
 
Back
Top Bottom