Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Status
Not open for further replies.
umeona sasa kumbe ww bwana hujaelewa maada ila akili yako imefocus kwenye dini...... Elewa kuwa mm sijasema uislam. Ila nmezungumzia mavaz kwan mbona hata wasio waislam huvaa kininja?? Kumbe mlio wengi mnafikir mavaz ndio dini?! Hayo mavaz ni utamaduni wa kiarabu na kwa vile waarabu walio wengi ni waislam ndio maana inachukuliwa hvyo. Unataka kuniambia lugha ya kiarabu ni ya kiislam?? Una hisia zilizoganda kweli ww jamaa

inamaana kwenye qur-an waislam wanawake hawajaelekezwa wavae vp?
 
Hata suti upigwe marufuku maana wengi wanaohamisisha ushoga na mashoga wa ulaya wanavaa suti.Hata matapeli na wezi wakubwa wanavaa suti,hata mafisadi wakubwa pia wanavaa suti.Kwa hiyo suti ipigwe marufuku maofisini.

Huna hela ya kununua suti piga kimya
 
acha kuudanganya umma ww kuvaa kininja ndio kujisitiri?? Vp umewahi kuwaona wanaojitoa mhanga kwa kubeba mabomu wanavaaje?? Machangudoa umewaona wanavaaje?? Hilo vazi ni kichaka hata kama hutaki huo ndio ukweli kama hutaki andamana

wewe ndo uandamane kwani watu wanavaa ninja hadi bank na huna ubavu wa kuwazuia kama vp pasuka kabisa maana padri kashakulawiti hujatosheka
 
sehemu kama Bank mteja anapaswa aonwe kwa kumfaham ndio ahudumiwe... labda ulikua huelewi best... fraud na money laundering zinatisha

safi sana na ndio maana wanapoenda kuvunja na kuiba benki huvaa vimini na sio hijaab.
 
Pigia debe hata uvaaji wa chupi usiwepo ili kule kule madhabahuni mtafunane kwa urahisi.

Hujasikia yule sheikh aliyekuwa kamshikisha quran mtoto huku anamlawiti?itabidi watoto wa kiume pia wavalishwe hayo manguo manaa masheikh wanatamani butts zao
 
Mwizi,Jambazi, mhalifu yeyote huwezi kumzuia kwa mavazi fikiria mbali kidogo ndugu yangu acha chuki..
 
mkuu, asante kwa kutundika uzi huu.

hao maninja mimi sina shida nao kwa kuwa wanavaa hivyo kwa kudumisha mila za dini yao. hasira zangu zipo kwa wale wanaovaa kininja kichwani huku mapaja na makalio yao wameyaanika nje; na wengine hadi shanga na chupi zinaonekana wazi!!! je, hawa tuwaweke kwenye kundi la vyangudoa au wasakatonge?

mkuu mm sio bint ni mwanaume niliyekamilika..... Mm sijaema waislam mbona kuna wasio waislam wanavaa? Mm napiga vita uvaaji wa kininja maofisin. Elewa ww
 
ukome kunambia nina akil ndogo.naeleza kilichokuwepo na kilichotoke kwenye ofs yetu we juma cjui nani?khaaa we ndo unaakil za kimbayuwayu.na kwa taarifa yako mie ni islam! alaa koma kabisa

flora, muslim am sure ur not, kumbe humu tunabadilishana mawazo hadi na wauza maduka, dukaduka tu hata liuze macbook
 
Mwizi,Jambazi, mhalifu yeyote huwezi kumzuia kwa mavazi fikiria mbali kidogo ndugu yangu acha chuki..

tatizo lenu mnafikir kila mtu anachuki na nyie mm sna chuki kama ambvyo nyinyi mlivyomchukia yule mtoto aliye.........msaafu
 
mkuu mm nipo kitambo sana jf kuliko unavyodhani ww hii id ndio imeanza kutumika jana na siyo mm.... Lakin kwann nyie watu mbona mkionywa mnatukana sana??
Ni uelewa mdogo?
Ni ile roho ya vita inayotokota mioyon mwenu?
Au ni ule msimamo mkali wa kutaka kujiripua?
Hata tai ipigwe marufuku,wako wanaojiua kwa kutumia tai,wakati mtu kasomwesha na pesa za kodi ya wananchi,halafu anajiua.
 
wewe ndo uandamane kwani watu wanavaa ninja hadi bank na huna ubavu wa kuwazuia kama vp pasuka kabisa maana padri kashakulawiti hujatosheka

mm ni mtu mzma nina akili timamu sina akili za kitoto kama kugombania kuchinja nyama au kumwekea kisiran mtoto mdogo asiyejua lolote kisa tu kakojolea kitabu... Sina kawaida ya kuandamana ila napiga magoti kumwomba Mungu
 
shida yetu tumekuwa tunakopi na kupaste vitu km vilivyo saa nyingine bila kuangalia km vinafaa kwa mazingira yetu ama la. na hii imekuwa ktk maeneo mengi,naamini hata hili vazi lililetwa na hao waliotuletea hizo imani.ni juu ya wahusika wenyewe kuona km bado linafaa kuendelea nalo ama la badala ya kuwashinikiza kuacha nalo.

zamani rc walisali kwa lugha ya kilatini baadae wakaamua kuachana nacho na sasa wanatumia kiswahili na lugha za asili za maeneo husika. ni rahisi zaidi kufanya mabadiliko km haya kwa kutumia msukumo wa ndani kuliko presha za nje.


Yani wewe katika copy and paste uliona lugha tu???? Unahakika maisha yako ni halisi? Fikirieni yakufanya kwa maendeleo yenu sio chuki zisizo na mbele wala nyuma.
 
Hihihiiii hv hao wanaotembea uchi hawakutoshi? Omba watembee na vipuchi bhas,
 
mm ni mtu mzma nina akili timamu sina akili za kitoto kama kugombania kuchinja nyama au kumwekea kisiran mtoto mdogo asiyejua lolote kisa tu kakojolea kitabu... Sina kawaida ya kuandamana ila napiga magoti kumwomba Mungu

mbona hupigi magoti kumwomba mungu wako aliyepigwa na wananchi aliyewaumba na wakamtundika msalabani azuie waislam kuvaa ninja? badala yake unaishia kuishauri serikali na kwa taarifa yako ungekuwa mtu mzima usengekubali kulawitiwa na mapadri, muombe mungu wako azuie nikab
 
U must be c.razy....unanifaham wewe? Mimi ni nani na nafanyia wapi? Unaambiwa expereince yangu unaanza kubwatuka kwani unadhani hiyo niliyoandika ni stori?

What kind of experience have you got halafu kujisifu uko bank so what, huko ndio usiseme kuiba kwenda mbele million za mtu mnatamani na kutupa chini elfu kumi halafu mnasema imepungua halafu unajisifu una kazi
 
rudia tena kusoma nilichoandika utaelewa..
ungenielewa usingethubutu kusema ni nachuki binafsi. Mm sijasema kanzu hapa tunaongelea kufunika uso. Hivi kuna kufuru gan mwanamke akivaa nguo yake ndefu na akafunika kichwa na akaacha uso unaonekana??
Kwan kufunika uso na kuacha macho ndio kuonesha matendo mema mbele ya Mungu??

Vp na wale wanaojitoa mhanga kwa mabomu wakiwa wamefunika nyuso zao nao wanamkiri Mungu kweli??
Na vp machangu wanaovaa kininja nao wanatenda mema mbbele ya Mungu?




Na kwan hilo vazi likivaliwa sehem na wakat mwafaka kwan kuna ubaya?? Nikimaanisha msikitin,wanavyoenda nyumban mwao kuliko kuvaa maofisin
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom