Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Zanzibar wao wameamua kuweka mandishi kila mahali panapotolewa huduma hasa kwenye maofisi Na maduka. Mara nyingi nimekuwa nikiona. maandishi yaliyoandikwa' Vua Nikabu Yako'.. Hata katika lango kuu la kuingilia katika Hospital ya Mnazi Mmoja wameweka tangazo hilo.