Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Status
Not open for further replies.
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Usiseme macho na pua sema usoo!!
Zaidi ya uso unataka uone na nn zaidi??
 
Kupiga marufuku kabisa hilo haliwezekani.

Na hilo la kuonesha.uso ukiingia ofisini mbona linajulikana. Sasa kwa case kama ya huyo dada kuingia kwenye ATM akaambiwa avue na kusema kaonewa huwezi jua huyo askari alitumia lugha gani kumwambia. Ndo mana bi dada akahisi kaonewa.
 
Kulingana na zama za mababu hilo ni vazi la kikahaba. Makahaba wa kiyahudi walivaa hivyo.
Hata suti upigwe marufuku maana wengi wanaohamisisha ushoga na mashoga wa ulaya wanavaa suti.Hata matapeli na wezi wakubwa wanavaa suti,hata mafisadi wakubwa pia wanavaa suti.Kwa hiyo suti ipigwe marufuku maofisini.
 
Kupiga marufuku kabisa hilo haliwezekani.

Na hilo la kuonesha.uso ukiingia ofisini mbona linajulikana. Sasa kwa case kama ya huyo dada kuingia kwenye ATM akaambiwa avue na kusema kaonewa huwezi jua huyo askari alitumia lugha gani kumwambia. Ndo mana bi dada akahisi kaonewa.

ndio matatizo yetu watanzania mtu anajua kabisa kuwa unapofika sehem flan sheria ya hapo inasemaje lakn cha ajabu anavunja hyo sheria kwa maksudi kabisa lakn bado anataka aambiwwe kwa kubembelezwa kama yupo chumban. Hakika ningekuwa mm ndio askar hapo ilikua ni kipigo tu. Hakuna kubembelezana kijinga hvyo
 
Kulingana na zama za mababu hilo ni vazi la kikahaba. Makahaba wa kiyahudi walivaa hivyo.
Suti pia ipigwe marufuku maofisini,mashoga wengi na wahamasishaji ushoga wanavaa suti,wezi wakubwa na mafisadi wanavaa suti.Kwa hiyo suti ipigwe marufuku.
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.
ingewekwa sheria kali ya kukuzuia wewe kuangalia yasiyokuhusu !!! Bora urudi kichakani au kwenye pango ulipozaliwa !!!
 
tuache ushabiki wa imani zetu. hii swala ni la MSI GI sana. mada hii INA mashiko. kujistiri co uvae kininja. iliwahi kutokea kwenye tawi moja LA NBC MUSOMA. majamaa aliteka bank yakiwa yemevaa kininja
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Gongo na shisha ni mbaya sana bora ungeviacha!
 
ingewekwa sheria kali ya kukuzuia wewe kuangalia yasiyokuhusu !!! Bora urudi kichakani au kwenye pango ulipozaliwa !!!

ila ww jamaa ngumbaro kweli hayanihusu kivip? Ulinzi na usalama wa mali za watanzania unanihusu kwa % zote. Siwez kuona udhifu unatokea halafu ninyamaze kisa et hayawani kama ww utachukia hlo siwez nitasimama kinyume na upuuzi huo
 
sisi kuna mazafaka mmoja katuibia laptop tkatafta mwizi wakati tunanyosheana vidole sisi staf tkapata wazo la kupekua kwenye cctv camera hamad walikuja 3 moja kavaa hzo ninja wakat wale wawili wanaulizia bei upande wa kwanz upande wa pili ninja kaiba laptop!anzia leo wakiinga hao tunaita askar anamfwatilia mwanzo mwisho,na wala hatukujua ni me ama ke mpaka leo
 
unajua kuna watu hawaelewi lolote wanatukana tu lakin ukweli huu uvaaji wa kininja ni hatar sana
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Mimi nashauri tuwe tunavaa chupi na sidiria tu makazini.allah akusamehe hujui usemalo
 
kiukweli hilo vazi sahvi limevamiwa na linatumikaaa kwa maasi wadada machangu wote wanavaa hivyooo kininjaaa...kwa hiyo waukweli humjui na wafksi humjui basi ni shidaaaa tu
 
Nahic kuna ugumu wa kutofautisha ninja na stara ya mwanamke wa kiislam.
Hv hao wez wote n wavaaj wa hivyo
 
Ufaransa walikataa huo ujinga
Maruku kuvaa kininja ni ugaidi na ni ujambazi
Kwanza joto lote hili la dsm mtu anajifunika tena na nguo nyeusi
Mimi naona wanajitesa tu

Wivu tu dada zetu wanavyojisitiri si mvae wenyewe vimini.maajabu baibui tuzuie na vimini turuhusu wapi na wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom