Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Status
Not open for further replies.
mkuu yawezekana hujaelewa topic au kuna watu wengne hawajanielewa mm nmesema "uvaaji kininja maofisini" unakuta mtu anaingia bank, atm, dukan, ofisi yoyote kajifunika uso wote kaana macho tu sasa hapo unataka kuniambia ni ibada?? Hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa "kila jambo na wakat wake" sasa hapo kuna wazee wa kukopi wao ni kufunika uso mda wote hata sehem zisizo stahili

Nimekuelewa mkuu ila kuna mijamaa badala ya kujadili nakuweka mawazo chanya inakimbilia matusi bila ujuzi wa mambo. Nadhani hapo suala ni uso uonekane na wala sio kupiga marufuku hilo vazi la stara kwa mwanamke.
Hakuna neno na imeruhusiwa uso kuonekana.
 
acha kutudanganya kirahisi hvyo. Nakuuliza hivi na unijibu.
1. Babu zetu enzi hizo walikuwa hawana mavaz walikuwa wanatembea uchi vp uliwahisikia upungufu wa nguvu za kiume?
......... Mm sipo kiimani ila nyinyi ndio mnafikir hivyo

Hahah. Babu zako wakitembea uchi??? Pole ndugu
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.


na mimi naongeza.....KAMA KUVAA KININJA NI UISLAMU BASI NCHI HII INA WAISLAMU WACHACHE SANA.....!!!! mwenye akili atanielewa.
 
Alafu ulivyo huna haya umejiunga jf kupinga mavazi ya imani za watu koma kabisa tena ushindwe
Hapana!!
Uislamu sio lazima uvae kininja, unaweza ukafunika nywele tu na uso ukabaki wazi na kila utakayekutana nae ukutambue wewe ni flani.
Hii staili ya kuvaa kininja imetumika sehemu nyingi katika kufanya uhalifu, Uislamu haukubaliani na uhalifu.

Kwa kuwa staili hiyo ya uvaaji imekuwa ikitumika kufanya mambo ambayo ni kinyume na uislamu wenyewe, ni vizuri waislamu tukaungana kuzuia vazi hili, ili watu waovu wasifanye maovu kwa jina la uislamu na kupaka matoke dini tukufu ya uislamu.

Allah anajua zaidi....
 
Leo wanaume wanalalama juu ya upungufu wa nguvu za kiume.. je hamjui sababu. Ni hao madada wanaokwenda uchi kuwaangushia macho yenu kwao. Kipi kigeni unapokuwa na mke wko ndani kimapenzi???? Dawa kubwa piga vita uvaaji nusu nguo kwa kina dada, amsha nguvu za kiume...
Mkuu samahani,
Hebu naomba nipe darsa kidogo, hao wanaovaa nusu uchi wanasababishaje upungufu wa nguvu za kiume?
 
Mkuu samahani,
Hebu naomba nipe darsa kidogo, hao wanaovaa nusu uchi wanasababishaje upungufu wa nguvu za kiume?

mkuu watu wengne wanapenda kusingozia tu. Mtu unakula chips mayai, au broira halafu unakula mivyakula vya mafuta, sigara anavuta yeye ,pombe anakunywa yeye mazoez hafanyi punyeto yeye sasa hapo utapataje nguvu za kiume??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom