kinchuraria
Member
- Mar 10, 2014
- 31
- 5
Nani kakwambia matukio hayo hayafanywi pia na watu wasio vaa mavazi hayo? tatizo lako umetanguliza chuki,ubinafsi na ushabiki kuliko ukweli wa mambo
1. Mama wawili waliingia duka la mhindi mmoja na kuiba vitenge mmoja aliyetoroka na hvyo vitenge alivaa kininja na mwingne aliyekuwa anamhadaa yule mhindi hakuvaa.
2. Mwaka jana nchini Iraq mtu aliyevaa kininja alitoa mhanga na kujiripua.
3. Na yule punda raia wa nigeria aliyekamatwa dsm alivaa kininja.
Acha kujifanya hujui wakat unajua ww vp bhana? Machangudoa hujawaona kuwa wanavaa kininja??