Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Status
Not open for further replies.

Ndeke afwege

Senior Member
Joined
May 20, 2014
Posts
154
Reaction score
48
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.
 
Nadhani we wewe unafurahia sana pindi umuonapo dada yako au mama yako mzazi akiwa amevaa nusu uchi kwani unaonyesha haupendi kuwaona wakiwa wamejistiri
 
Alafu ulivyo huna haya umejiunga jf kupinga mavazi ya imani za watu koma kabisa tena ushindwe

sehemu kama Bank mteja anapaswa aonwe kwa kumfaham ndio ahudumiwe... labda ulikua huelewi best... fraud na money laundering zinatisha
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Kwa utafiti wako hao wanao vaa hivyo usivyo penda ww ni % ngapi ya uhalifu umechangiwa na wavaaji wa vazi hilo? Na kama mavazi yanachangia uhalifu basi bora tutembee uchi au tuvae kanzu maana majamvazi wote na vibaka wanavaa suruali na shati au tishert vazi ambali ninauhakika hata ww una vaa. Sasa nibora serikali na wamiliki wa mabenk waweke sheria ukifika mlangoni uvue suruali yako na shati lako
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Maovu kama yapi?
 
Uj.I.nga tu wazeni maendeleo tusonge mbele
sehemu kama Bank mteja anapaswa aonwe kwa kumfaham ndio ahudumiwe... labda ulikua huelewi best... fraud na money laundering zinatisha
 
Kwa namna gani anaweza leta uhalifu..fafanua ili tuweze kuunga mkono hoja.
 
Uj.I.nga tu wazeni maendeleo tusonge mbele

nilifanya kazi tanga Bank moja hivi... case za kuibiwa kwenye ATM zilikua nyingi na camera hazikusaidia coz huoni sura ya mtu... mpaka ikabidi askari awe anawaelewesha wanaacha sura ndio ikasaidia... acha ushabiki
 
Wangekuwa wanakuona ungepigwa mawe mpaka ufe kwa mujibu wa inani zao
 
Ufaransa walikataa huo ujinga
Maruku kuvaa kininja ni ugaidi na ni ujambazi
Kwanza joto lote hili la dsm mtu anajifunika tena na nguo nyeusi
Mimi naona wanajitesa tu
 
Nadhani we wewe unafurahia sana pindi umuonapo dada yako au mama yako mzazi akiwa amevaa nusu uchi kwani unaonyesha haupendi kuwaona wakiwa wamejistiri

mkuu usikimbilie kutoa povu. Mm nmeguide maeneo kwa lengo la kiusalama zaidi. Kama leo hii dada moja kaingia kwenye ATM mashine halafu kafunika kila kitu kwanzia uso mpaka vidole askar anampa maelekezo halafu anakuwa mkali na kusema anaonewa
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Wafaransa wamepiga marufuku uvaaji wa hivi!!
 
Mnafiki mkubwa wewe huna hata aibu kuandika uongo, mchochezi wewe tunakujua mtembeze Dada yako half naked uone utaitwa na watu wangapi uwaunganishie
U must be c.razy....unanifaham wewe? Mimi ni nani na nafanyia wapi? Unaambiwa expereince yangu unaanza kubwatuka kwani unadhani hiyo niliyoandika ni stori?
 
Nadhani we wewe unafurahia
sana pindi umuonapo dada yako au mama yako mzazi akiwa amevaa nusu uchi
kwani unaonyesha haupendi kuwaona wakiwa wamejistiri

Kulingana na zama za mababu hilo ni vazi la kikahaba. Makahaba wa kiyahudi walivaa hivyo.
 
U must be c.razy....unanifaham wewe? Mimi ni nani na nafanyia wapi? Unaambiwa expereince yangu unaanza kubwatuka kwani unadhani hiyo niliyoandika ni stori?

mkuu kuna watu humu kazi yao kubweka tu kama mbweha wakat huo hawajui lolote kama huyu picchu mm naweza kumwita ana akili ya ng'ombe na hakika nikosahihi sijakosea kabisa. Mtu mwenye akili timamu hawez kuropoka matusi wakat unatoa uzoefu wako
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom