Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,201
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.
Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.
Pigia debe hata uvaaji wa chupi usiwepo ili kule kule madhabahuni mtafunane kwa urahisi.