Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Status
Not open for further replies.
Mimi /sisi mgonjwa akija.km kavaa ninja tunamwambia afunue uso wake..kwingine kote ziba ntamhudumiaje mtu ambaye sioni sura yake...funua sura then tuendelee...facial expression ina umuhimu wake...ukiniachia macho tu sikuelewi
But naheshimu utamaduni wake na kujistahi kwake

Shule yao ndogo ndomana hawakuelewi wanabaki kutukana tu..
 
Wewe unafata ukiristo gani .. picha ya bikira maria mnayoiabudu kavaaje ? Mbona hamvai km yeye .

Bikira maria alikuwa anakaa Tanzania?kila sehemu ina mavazi yake kutokana na mazingira sio mnaiga tu ilimradi waliowaletea dini huko kwao ndo wanavaa hvyo..
makanzu,baibui ni mavazi tu ya sehemu yalipotokea ni km mmasai na lubega
 
Uvaaji wa kininja sio imani ya dini ni vazi ambalo tumeiga kutoka kwa wavaaji wa vazi hilo na wao walivaa vazi hilo kujistiri na vumbi kule jangani walikotokea haikua imani yao walilazimishwa na mazingira ya kwao sasa kwakua sisi ni watu wakupokea kila kilicholetwa na wageni nakukiamini tumepokea hadi uvaaji wao ila kuhusu uhalifu sina uhakika na hilo
 
acha kuudanganya umma ww kuvaa kininja ndio kujisitiri?? Vp umewahi kuwaona wanaojitoa mhanga kwa kubeba mabomu wanavaaje?? Machangudoa umewaona wanavaaje?? Hilo vazi ni kichaka hata kama hutaki huo ndio ukweli kama hutaki andamana

Dini lazima iwe imekamilika katika nyanja zote za maisha ili huyo mwanadamu aishi kwa matakwa ya muumba wake na ndio maana katika uislam kila jambo lina utaratibu wa kulifanya ili uwe ktk radhi zake. Kuvaa hijabu ni ibada.
Sasa mtu akipinga hilo vazi la hijab ktk uislam basi atupe vazi mbadala la dini yake tulipime au hilo vazi la serikali.
Hakuna haja ya kuandamana kwani hapo kila jambo na hukmu yake.
 
Serikali iweke sheria kukataza kuvaa kininja ili iruhusu kuvaa vimini?. Huu ujinga wako peleka kwa lukuvi labda ataungana na wewe....
 
Uvaaji wa kininja sio imani ya dini ni vazi ambalo tumeiga kutoka kwa wavaaji wa vazi hilo na wao walivaa vazi hilo kujistiri na vumbi kule jangani walikotokea haikua imani yao walilazimishwa na mazingira ya kwao sasa kwakua sisi ni watu wakupokea kila kilicholetwa na wageni nakukiamini tumepokea hadi uvaaji wao ila kuhusu uhalifu sina uhakika na hilo

asante kwa kutoa elim hyo kuna watu waajabu sana humu. Kumbe walio wengi wanavaa kwa iman ya kuwa eti wanampendeza Mungu kumbe vazi na iman ya Mungu ni vitu viwili tofauti......... Mkuu kuna kesi mm nmezifuatilia ikiwa ni pamoja na kuwasaka watuhumiwa. Wengi wa waharifuu wanapotoroka hutumia sana kuvaa kininja
 
Dini lazima iwe imekamilika katika nyanja zote za maisha ili huyo mwanadamu aishi kwa matakwa ya muumba wake na ndio maana katika uislam kila jambo lina utaratibu wa kulifanya ili uwe ktk radhi zake. Kuvaa hijabu ni ibada.
Sasa mtu akipinga hilo vazi la hijab ktk uislam basi atupe vazi mbadala la dini yake tulipime au hilo vazi la serikali.
Hakuna haja ya kuandamana kwani hapo kila jambo na hukmu yake.

mkuu yawezekana hujaelewa topic au kuna watu wengne hawajanielewa mm nmesema "uvaaji kininja maofisini" unakuta mtu anaingia bank, atm, dukan, ofisi yoyote kajifunika uso wote kaana macho tu sasa hapo unataka kuniambia ni ibada?? Hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa "kila jambo na wakat wake" sasa hapo kuna wazee wa kukopi wao ni kufunika uso mda wote hata sehem zisizo stahili
 
Serikali iweke sheria kukataza kuvaa kininja ili iruhusu kuvaa vimini?. Huu ujinga wako peleka kwa lukuvi labda ataungana na wewe....

elewa maada inasemaje ww. Sio unakurupuka tu kuparamia kujibu swali
 
Alafu ulivyo huna haya umejiunga jf kupinga mavazi ya imani za watu koma kabisa tena ushindwe

Hamna mtu anayepinga uvaaji wa baibui na hijab.....Ila uvaaji wa kininja wa kufunika uso Mzima....Ni vizur mtu kuvaa zake vizur abakishe uso kwa sababu za kiusalama.......may be waislm.hua hawana nia mbaya Ila watu waovu wanatumia mwanya wa kuvaa kininja kutenda maovu! Je tutatofautishaje watu hawa.....Ni kwa kuacha nyuso zao wazi
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Yaani umejiunga jana tu JF unaleta chuki zako, we umetumwa si bure
 
Huku tunahudumiwa na waliovaa kininja....raha sana maana hujui anayekuhudumia ni kijana mwenzako au ni mama mtu mzima
 
Toa mifano ya matukio yaliyofanywa na watu waliovalia mavazi hayo,..tunavyojua ni kwamba majambazi huwa wanavaa kofia ndefu inayofunika uso na kubakisha macho na sio hayo mavazi ya kike..kama hukutoa mifano ya tukio lililosababishwa na uvaaji huo hizo tunahesabu ni propaganda tu za kuchafua utamaduni wa waislam wa kujisitiri kulingana na dini yao.
 
Yaani umejiunga jana tu JF unaleta chuki zako, we umetumwa si bure

mkuu mm nipo kitambo sana jf kuliko unavyodhani ww hii id ndio imeanza kutumika jana na siyo mm.... Lakin kwann nyie watu mbona mkionywa mnatukana sana??
Ni uelewa mdogo?
Ni ile roho ya vita inayotokota mioyon mwenu?
Au ni ule msimamo mkali wa kutaka kujiripua?
 
Mkuu,

Watu wana copy na ku-paste tu!

Nguo zinazovaliwa jangwani kwa ajili ya kuwakinga watu na vumbi na mchanga unaoendeshwa na upepo mkali,watu wanayavaa mavazi hayo mpaka maeneo yenye mvua nyingi!!!

Mfano ni pale mtu alifanye jaketi,vazi linalovaliwa sana maeneo ya baridi kali kuwa vazi rasmi maeneo ya Ikweta kwenye jua kali!!!!

Hawajui hata watu wasio waislamu pia huvaa baibui kujikinga na dhoruba kali za upepo huko jangwani!

Anyway ni ufinyu tu wa kufikiri!
 
Toa mifano ya matukio yaliyofanywa na watu waliovalia mavazi hayo,..tunavyojua ni kwamba majambazi huwa wanavaa kofia ndefu inayofunika uso na kubakisha macho na sio hayo mavazi ya kike..kama hukutoa mifano ya tukio lililosababishwa na uvaaji huo hizo tunahesabu ni propaganda tu za kuchafua utamaduni wa waislam wa kujisitiri kulingana na dini yao.

1. Mama wawili waliingia duka la mhindi mmoja na kuiba vitenge mmoja aliyetoroka na hvyo vitenge alivaa kininja na mwingne aliyekuwa anamhadaa yule mhindi hakuvaa.
2. Mwaka jana nchini Iraq mtu aliyevaa kininja alitoa mhanga na kujiripua.
3. Na yule punda raia wa nigeria aliyekamatwa dsm alivaa kininja.

Acha kujifanya hujui wakat unajua ww vp bhana? Machangudoa hujawaona kuwa wanavaa kininja??
 
Mkuu,

Watu wana copy na ku-paste tu!

Nguo zinazovaliwa jangwani kwa ajili ya kuwakinga watu na vumbi na mchanga unaoendeshwa na upepo mkali,watu wanayavaa mavazi hayo mpaka maeneo yenye mvua nyingi!!!

Mfano ni pale mtu alifanye jaketi,vazi linalovaliwa sana maeneo ya baridi kali kuwa vazi rasmi maeneo ya Ikweta kwenye jua kali!!!!

Hawajui hata watu wasio waislamu pia huvaa baibui kujikinga na dhoruba kali za upepo huko jangwani!

Anyway ni ufinyu tu wa kufikiri!

well said
 
1. Mama wawili waliingia duka la mhindi mmoja na kuiba vitenge mmoja aliyetoroka na hvyo vitenge alivaa kininja na mwingne aliyekuwa anamhadaa yule mhindi hakuvaa.
2. Mwaka jana nchini Iraq mtu aliyevaa kininja alitoa mhanga na kujiripua.
3. Na yule punda raia wa nigeria aliyekamatwa dsm alivaa kininja.

Acha kujifanya hujui wakat unajua ww vp bhana? Machangudoa hujawaona kuwa wanavaa kininja??

Mkuu,

Hata siku hizi wake za watu wakitaka kuingia guest house bila kujulikana,mavazi ya kininja ndo habari ya mujini!!!

Mtu analivaa, anaingia guest house anafanya yake,akimaliza anatoka ameyavaa!

Halafu huyoooo anasepa zake!!
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Umevurugwa wewe,Hivi mtu anayetembea nusu uchi akushughulishi ila anayejistiri tu???
Mal'un mkubwa wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom