Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Serikali iwe macho na uvaaji wa kininja maofisini

Status
Not open for further replies.
Wew jamaa mbona unakuwa na matusi jenga hoja, halafu ndiyo maana kumbe asilimia kubwa ya watu kama wewe mnapelekwa pelekwa hadi mtu anajilipua ati anafia dini kwanini yule anayekufundisha hivyo yeye asijilipue afie dini ili nyie muige kama mlivyo iga mavazi ya kiarabu? kuvaa kwa kujisitiri sio tatizo lakini mtu asifunike hadi, kwa mfano mwaka mmoja nasoma nilikuwa na class mate wangu mmoja alikuwa anavaa hivyo anafunika hadi uso alafu anakuja ati tufanye discussion mm nikamwambia siwezi kufanya disc na mtu ambaye simuoni uso akafunua uso tukafanya discussion hivyo ndo inavyotakiwa, siyo mtu kafunga mwili mzima haonekani eti anajisitiri...------- kabisa
 
Yani wewe katika copy and paste uliona lugha tu???? Unahakika maisha yako ni halisi? Fikirieni yakufanya kwa maendeleo yenu sio chuki zisizo na mbele wala nyuma.

Sijakusoma, km utaweza kufanunua itakuwa vzr
 
Sisis matrafiki ndio tunapata kipindi kigumu. Mtu anaendesha gari kajifunika kininja, unamuambia nataka nikague leseni yako, anagoma kufunua sura eti ni mali ya mumewe na dini imekataza.
Kwa kweli tuna fanya kazi kwenye mazingira magumu sana.
Ridiculously+Photogenic+Islamic+Women_5b9d98_3576028.jpg
 
halafu zile tuhuma za kuwa ww ni mwanamke ni kweli? Mbona unakwepa kujibu hizo?
 
ila ww jamaa ngumbaro kweli hayanihusu kivip? Ulinzi na usalama wa mali za watanzania unanihusu kwa % zote. Siwez kuona udhifu unatokea halafu ninyamaze kisa et hayawani kama ww utachukia hlo siwez nitasimama kinyume na upuuzi huo
Wewe ndiyo wakulinda mali ya WaTZ...? ahsante kwa lugha yako...inathibitisha ulivo.!!
 
Sisis matrafiki ndio tunapata kipindi kigumu. Mtu anaendesha gari kajifunika kininja, unamuambia nataka nikague leseni yako, anagoma kufunua sura eti ni mali ya mumewe na dini imekataza.
Kwa kweli tuna fanya kazi kwenye mazingira magumu sana.
Ridiculously+Photogenic+Islamic+Women_5b9d98_3576028.jpg

hahaha!
 
na inaposemwa kuwa vazi fulani ni hatari kama hzo niqab c kwamba hyo dini ni hatari wanaotumia wakati wa uhalifu hawalivai kidini wanalivaa kihalifu.sasa mtu anatoa wazo lake watu wanaleta udini!
kunasiku hapa tz wanamziki walipanda jukwaan na mabaibui nafkiri ni tot band mbona viongoz wajuu wakiislamu walisema hlo ni vazi tu! kamj kanga na mengineyo? kwanin hapa mnaingza uislamu!?
KWANI HVI VIMINI NI CHRISTIAN TU WANAVAA,KUWENI WAKWELI. SI UNAANZA KUTETEA TU UJINGA

N.O.N.E.S.E.N.S.E
 
mkuhu hutakuwa hunahingiliha himani za wahisilamu mkuhu siho vizuri. hacha kila mtu hamini na havae hanacho hona ni nzuri.
 
na inaposemwa kuwa vazi fulani ni hatari kama hzo niqab c kwamba hyo dini ni hatari wanaotumia wakati wa uhalifu hawalivai kidini wanalivaa kihalifu.sasa mtu anatoa wazo lake watu wanaleta udini!
kunasiku hapa tz wanamziki walipanda jukwaan na mabaibui nafkiri ni tot band mbona viongoz wajuu wakiislamu walisema hlo ni vazi tu! kamj kanga na mengineyo? kwanin hapa mnaingza uislamu!?
KWANI HVI VIMINI NI CHRISTIAN TU WANAVAA,KUWENI WAKWELI. SI UNAANZA KUTETEA TU UJINGA

N.O.N.E.S.E.N.S.E

aisee! Bora uwaambie yaan hawa jamaa akili zao znawaza ugomvi tu. Mm nmezungumzia mavaz llakn wanakuja juu kama nmetukana mtu. Vmini hata waislam wanavaa hata baibui wakristo nao wanavaa sasa sijui povu inawatoka ya nn
 
Uislam unamtaka mwanamke ajistiri. Suala la ninja ni vazi la kiislam la stara.ila kesi ya sehemu ambayo m'ke kiusalama akitakiwa kuvua si tatizo. Ila muanzisha mada nadhani uko kiimani zaidi kwa lengo la kupiga vita uislamu. Je dada zetu unataka wavae nusu nguo kama ilivyo kwa wasiojua ni nini dini? Haiwezekani. ..
 
Leo wanaume wanalalama juu ya upungufu wa nguvu za kiume.. je hamjui sababu. Ni hao madada wanaokwenda uchi kuwaangushia macho yenu kwao. Kipi kigeni unapokuwa na mke wko ndani kimapenzi???? Dawa kubwa piga vita uvaaji nusu nguo kwa kina dada, amsha nguvu za kiume...
 
Sisis matrafiki ndio tunapata kipindi kigumu. Mtu anaendesha gari kajifunika kininja, unamuambia nataka nikague leseni yako, anagoma kufunua sura eti ni mali ya mumewe na dini imekataza.
Kwa kweli tuna fanya kazi kwenye mazingira magumu sana.
Ridiculously+Photogenic+Islamic+Women_5b9d98_3576028.jpg

We GAHBA vp mtako bado unatingishika??? Nipe mchezo nikujengee nyumba kama ya Matola
 
Last edited by a moderator:
Leo wanaume wanalalama juu ya upungufu wa nguvu za kiume.. je hamjui sababu. Ni hao madada wanaokwenda uchi kuwaangushia macho yenu kwao. Kipi kigeni unapokuwa na mke wko ndani kimapenzi???? Dawa kubwa piga vita uvaaji nusu nguo kwa kina dada, amsha nguvu za kiume...

acha kutudanganya kirahisi hvyo. Nakuuliza hivi na unijibu.
1. Babu zetu enzi hizo walikuwa hawana mavaz walikuwa wanatembea uchi vp uliwahisikia upungufu wa nguvu za kiume?
......... Mm sipo kiimani ila nyinyi ndio mnafikir hivyo
 
Ingekuwa bora zaidi serikali ipige marufuku kabisa kuvaa kininja maofisin. Utakuta mtu anaenda bank halafu anajifunika kuanzia kichwa mpaka unyayo pamoja na mikononi halafu akiingia ndani anajifunua macho na pua tu eti ndio kamaliza, hilo jambo linaboa sana.

Ingewekwa sheria kali ya kuzuia uvaaji huo maofisini kwasababu inakuwa kama kichaka cha waovu.

Mi naona ipigwe marufuku mazima maana ni kuwafanya wasivaa vile ni wajinga, kwamba wewe unaweza kuwaona na kuwatambua kwa majina ilhali wewe hata ukikutana na nduguyo wa damu hawezi kukujua! Inakera sana. Samahani kwa wapenzi wa vazi hilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom