Serikali ipi imehamia Dodoma?

Thread Ya Ajabu Sana Hii
Yaani Inachoma Kama Pasi Ya Mkaa, Nimesoma Ujumbe Wake Na Michango Ya Wadau Ukweli Mtupu.
Dodoma Ni Shida, Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno.
Kila mtu anasema Dodoma shida, lakini hamsemi shida gani. Acheni kuishi kwa mazoea. Mikoa mingi iko vizuri sana kuliko Dar. Ni kutofahamu tu. Hakuna mkoa wenye standard ya chini ya maisha kwa sasa kama Dar.
 
Hakuna aliyehamia Dodoma ila walikwenda kurekodi bongo movie tu wote wapo pale magogoni wamejazana pale ila wanyonge ndio wametupwa Dodoma
 
Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.

Mawaziri wanaapishiwa Dar

Mabalozi wanaapishiwa Dar

Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar

Rais muda wote yupo Dar

Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar

Makamu wa Rais muda wote yupo Dar

Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar

Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri Jafo naye yupo Dar

Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Kinachonisikitisha ni kuoana hata MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU naye ametudanganya. Mwanzo alisema hahamii mpaka mamake apone. Ghafla tukaona mapicha picha kuwa amehamia huko. Jioni hiyo hiyo tayari yuko Dar. Jamani mbona mnachosha kwa mbwe mbwe zisizokuwa na mashiko?
 
Kwanza kabisa siku zote tokea Tanzania ipate uhuru chini ya baba wa Taifa J.K. Nyerere mji mkuu ulikuwa na bado ni Dodoma. Hili suala la kuhamia Dodoma lilipaswa kufanywa zamani sana kupitia awamu za serikali zilizopita. Uwepo wa mhimili mmoja wa serikali au demokrasia ambao ni Bunge pekee hautoshi kuhalalisha mji mkuu bali uwepo wa mihimili yote mitatu yaani
1. Serikali Kuu, Chini ya Rais
2. Mahakama Chini ya Jaji Mkuu
3. Bunge Chini ya Spika.

Katika awamu zotee nguvu kubwa ilielekezwa Dar es Salaam hivyo kupunguza nguvu stahiki ya mji wetu mkuu wa Dodoma. Lakini pia kwa tunaolalamika Dodoma ni jangwa, mara hapafai kwa wafanyakazi wa serikalini, hizi lawama zote anapaswa kupewa awamu ya uongozi uliopita kwa sababu hawakutilia maanani umuhimu wa kuudumisha mji wetu mkuu.

Lakini pia uchaguzi wa mji mkuu umetokana na geographical advantage for both security reasons na governmental operations, kama viongozi waliopita kweli wangewekeza katika kuhakikisha mihimili yote ya serikali ipo Dodoma tokea kipindi cha Mwinyi basi mpaka leo hii Watanzania tusingekuwa na lawama au malalamiko.

Nitolee mfano, nguvu iliyotumika katika ujenzi wa Dar es salaamu tokea kipindi cha Mwinyi mpaka leo basi leo hii Dodoma ingekuwa ndio Dar es Salaam yetu. Hivyo basi kama serikali ya sasa imedhamiria kuhamia Dodoma itafanya hivyo lakini sio kwa wakati mmoja kama mpangaji anavyohama nyumba ya kupamba kwa sababu mihimili yote mitatu inapaswa kuhamia huko pamoja na sekta za ulinzi na usalama. It takes time.

Don't hunt what you can't kill.
 
Sawa lakin kwa Tanzania Daslama mwisho wa matatizo yan tusidanganyane kila kitu kikubwa kiko dar ? kwan sehemu gani hakuna squatters ? ...Lusaka sasa ndio kuna nini ? Yan Lusaka nayo ni yakuisema na Dubai utasemaje ? Mkuu sasa nkwambie kitu kweli tunaweza kuwa tunatokea bush na vitu kama ivyo ila tunajua miji mikubwa duniani, narudia tena Mangufuli akihamia dodoma nami nakuja, .. Maswali ya msingi Pamoja na joto lote na uchafu wote ulosema upo dar, kwanini mji kila siku watu wanaongezeka ? wanapenda huo uchafu na skuata ? kwanini ndio sehemu yenye watu wengi kuliko sehemu nyingine yoyote Tanzania ? dont take things personal mkuu Dar es Salaam kwa Tanzania Hakuna.....

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo maswali yanahitaji logical explanations? Kila kitu wanasiasa wali centralize Dar es Salaam kwa miaka mingi, tuseme toka Uhuru, zamani hata ukitaka results slip lazima uende Dar es salaam, ukitaka kazi lazima uende Dar, Hakuna kipya huo mji, Kama Dubai pia tumefika, ingekuwa ujinga Ku compare Dar es Salaam na Dubai, ukweli ni kwamba kwa watu wapumbavu wasiiona madhara ya Ku centralize economic and physical infrastructure sehemu moja ya nchi ndio hawataona umuhimu wa expand opportunities somewhere else, hakuna nchi duniani ina uchumi wa kati wana mji mmoja tu umeshikiria uchumi, ndio maana unaona influx ya watu Dar es salaam ni kubwa, sio kwa kupenda but the pooling factors are so strong, MTU umesoma utafute kazi wapi?

But matter of fact is, huo sio mji ni takataka na mkusanyiko wa watu wengi just to survive. Any reasonable person anaeishi maeneo tofauti na masaki, oysterbay, mbezi beach, mikocheni and the likes hawezi furahi kuishi mji kama huo.

Jiji gani unanunua maji kwenye dumu? Once I got an opportunity to move out, I was delighted!!
 
Sasa kama unakaa tandale it has to be like that ? Me binafsi sinunuag maji kwa dumu kwanza kama hujui sehemu nyingi za Dar zinamaji toka ile project ya wachina ipite, sisi hatuhami na huko mlipo we will come, alafu kuhusu dubai naendaga pia kununua spea so sio ishue, I also have been to Sydney kwahiyo sio ishue yan hapa nasema ivi Dar huwez fananisha na mkoa wowote TZ, alafu unaongelea kinondoni tu mbona kuna sehemu zingine ilala na temeke zipo poa sana, wote hawawez kaa kinondoni mkuu, na mwisho wa siku ni hela tu ndio pull factor kubwa sasa unataka watu waende wapi ? dodoma hiyo apo mbona kina magufuli hawaji wamewatanguliza ninyi ? wake zenu wanatusumbua huku mjini you guys have to do something about it...Usipachukie dar hivyo mkuu sio poa, kwan we upo mkoa gani ? me Tanzania sijafika labda mikoa miwili tu so I have a glimpse of almost every region in Tanzania...we uko wapi ??

Sawa, nimekuelewa, enjoy, uzuru hamna mtu amezuiwa kuishi hapo!
 
Unaoneka mshamba tu ndio unaweza wake za watu wanakusumbua, who says that? Yani ulipotoka kwenu kijijini huko umesoma Dar umepata kazi basi bonge LA mjanja!
 
Unaoneka mshamba tu ndio unaweza wake za watu wanakusumbua, who says that? Yani ulipotoka kwenu kijijini huko umesoma Dar umepata kazi basi bonge LA mjanja!

Ndio mana nimesema usichukulie vitu personal mkuu, me nasema ukweli we unaniatak na ushamba wangu, sawa wewe mjanja ila facts ni kwamba walikosea toka zamani ndio ikatokea dar kuwa superior, should that be my mistake ? I am not a politician wala sio afisa maendeleo jamii. Kwan nikiwa mshamba ninisema ukweli kuna tatizo ? Mkuu hata mimi mshamba naweza kukwambia wewe mjanja ukweli...Alafu kukubali ukweli na yenyewe ni ujanja...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa, nimekuelewa, enjoy, uzuru hamna mtu amezuiwa kuishi hapo!

Kweli mkuu sasa ntaenda Misungwi ili nije kuwa jobless na kushangaa shangaa, maisha yenyewe mafupi mkuu, I get money here I will stay here, basi ndio hivyo tu mkuu, nikija huko ulipo wewe ntaanza kutia huruma na watu wengine kutia huruma na kuwa omba omba hatupendi....

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio mana nimesema usichukulie vitu personal mkuu, me nasema ukweli we unaniatak na ushamba wangu, sawa wewe mjanja ila facts ni kwamba walikosea toka zamani ndio ikatokea dar kuwa superior, should that be my mistake ? I am not a politician wala sio afisa maendeleo jamii. Kwan nikiwa mshamba ninisema ukweli kuna tatizo ? Mkuu hata mimi mshamba naweza kukwambia wewe mjanja ukweli...Alafu kukubali ukweli na yenyewe ni ujanja...

Sent from my iPhone using JamiiForums
hahaaha, haya bwana, may be you're right, shouldn't take this personal, what I can agree with you, Dar es Salaam holds a unique place in Tanzania, I guess no one can deny that fact.
 
Unaoneka mshamba tu ndio unaweza wake za watu wanakusumbua, who says that? Yani ulipotoka kwenu kijijini huko umesoma Dar umepata kazi basi bonge LA mjanja!

Alafu dont put blames on me, I did not choose Dar kuwa hivi, blame the politicians, they done f***ed this country to the levels that, it will not stabilize in the near future, knowing that is enough to get your grind on, and that will hel you get out of that big black hole that everybody is suncken in...

Tujiulize kitu kimoja, Mbunge wa Tandaimba ananyumba masaki, obey mikocheni mbez beach, na wengi ni hivyo hivyo , why ? kwanini wasiish majimboni ? Jibu ni rahis tu, Mtanzania yupo free kuish sehemu yeyote ile, lakin mbona wote wanakimbilia dar kasoro watu wachache tu ? Kina mbowe na Kina zito yote yapo dar hapa yanazingua tu hayaend majimboni,

Mkuu THIS SHOULD BE A WAKEUP CALL, me haya majitu siyasikilizag tena ni Mabinafsi sana na ndio wakwanza kusema mikoa yote ipo sawa, Tuongee ukweli Mkuu kweli Shinyanga itakuwa sawa na Dar ? Tuwe wakweli hata kama walifanya blunder wakuu ila ukweli ubaki kuwa ukweli and fixing this is something else all together...

Again this is not personal mkuu, usiniatak na ushamba wangu wala siblame me kusema ukweli...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hahaaha, haya bwana, may be you're right, shouldn't take this personal, what I can agree with you, Dar es Salaam holds a unique place in Tanzania, I guess no one can deny that fact.

Tukubaliane kabisa wanasiasa wanatupoteza, haiwezekani kila kitu dar pamoja na wao kuwa na majimbo huko vijijin ila wanakaa hapa mjini, yan haya majamaa siyapend niwe mkweli tu, utakuaje mbunge wa rombo unakaa daslama ? Leo si Alhamis mkuu ukienda masaki sehemu za starehe utayakuta tu mkuu..

Alafu ile ishue ya maji mkuu iko hivi mimi experince yangu, nlikuwa nakaa ilala sawa kule maji ni tatizo ila saiv nakaa kinondoni karibu na hizo sehemu ulizosema maji yakikatika yanakatika kama mkoani tu yan onetime chap alafu yanarud na I have three years in Kino, daah nchi inavituko hii.. Hata umeme haukatiki kiboya huku kino, si wakuu wote wapo huku mkuu, me nnachokuomba tupambane kutafuta hela haya majitu yanatumaliza taratibu na roho inaniumaga unakuta jitu barabaran linawashangilia aisee alafu paadae anakutumia msg ka kukukopa nawakaushiaga tu aisee, si tunapigwa na jua ye kazi yake kushangilia majitu ya ushuani huko kisa yamepewa ten ten ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom