Kwahiyo viongozi wa Middle East hawako salama?Nivigumu sana ikulu kuwa Dodoma. Magogoni ni rahc ku escape. Sasa kule kwa wagogo njia ni mbili2 anga na nchi kavu
system error occurred![]()
Ni kweli mambo yanadaiwa kufanyika Dar kimtazamo lakini Dar inafanya hivyo kwa niaba ya Dodoma kimkakati zaidi uhalisia yanafanyika Dodoma, ni kukaimu tu.Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Pesa ipi imepotea? Pesa zote wanakula CCM sema pesa inaliwa na CCM siyo kupotea bure hata kukomaa Dsm hukaa ili walipane posho ya SafariKwa mifumo ya mawasiliano E Gov , ugatuzi madaraka, mbali ya Wabunge nani Mtanzania anahitaji kufika wizarani kwa lipi!?Tumepoteza pesa bure maamuzi Dom, hapakuwa na uhitaji as planned earlier.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magogoni ni rahisi kuuawa kwani wazungu wakituma nyambizi submarine na drone zao ni rahisi kuleta maafa kisha wakatokomea baharini, Dodoma pako salama kuliko hapo DsmNivigumu sana ikulu kuwa Dodoma. Magogoni ni rahc ku escape. Sasa kule kwa wagogo njia ni mbili2 anga na nchi kavu
system error occurred![]()
Kiserikali ukisafiri mkoani unalipwa posho ya Safari , sasa wanajilipa posho kwa kusafiri toka Dodoma kwenda hapo Dsm ni matumizi mabaya ya pesa za ummaNi kweli mambo yanadaiwa kufanyika Dar kimtazamo lakini Dar inafanya hivyo kwa niaba ya Dodoma kimkakati zaidi uhalisia yanafanyika Dodoma, ni kukaimu tu.
Bongo pwani ndiko si salama kuliko huko mkoaniKuna nchi nyingi zenye pwani ya Bahari lkn Ikulu zao zipo bara. Mfano Kenya, Nigeria, Ivory Coast, South Africa etc. Bongo tu ndio kuna matishio?
Hivi Dar ni mji nao wa kupiga tambo? Ukitoka kijijini lazima ushangae kila kitu ukifika Dar. Mji kama Lusaka tu upo mbali sana kuliko huo uchafu Dar es salaam! Watu wamerundikana kama mizigo kwenye hizo squatters, maisha gani hayo? Mji gani huo? MTU anayeona Dar ni jiji LA kusifiaaa hana exposure.
Kuhamia Dodoma ni "easier said than done".Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Kwa usalama wa Rais dodoma si pa kukaa moja kwa moja. Anatakiwa kuwa ana bip. Magogoni salama zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuulize gaboHivyo nchi ambazo hazina bahari marais wao hawana escape route nyingine, sio?
Asante kwa kutuletea ubuyu wa shilawadu, naona umekurupuka usingizini ukaanguka kii! 74!?!?!?!?!?Muulizeni makongoro yaliyomk uta babayake mwaka 74 nasikia alipiga mbizi akaibukia Kigamboni
Sent using Jamii Forums mobile app