Serikali ipi imehamia Dodoma?

Serikali ipi imehamia Dodoma?

Thread Ya Ajabu Sana Hii
Yaani Inachoma Kama Pasi Ya Mkaa, Nimesoma Ujumbe Wake Na Michango Ya Wadau Ukweli Mtupu.
Dodoma Ni Shida, Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno.
 
Kwa mifumo ya mawasiliano E Gov , ugatuzi madaraka, mbali ya Wabunge nani Mtanzania anahitaji kufika wizarani kwa lipi!?Tumepoteza pesa bure maamuzi Dom, hapakuwa na uhitaji as planned earlier.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere alipendekeza makao makuu kua Dodoma kwa sababu alitaka kuwapunguzia watu wanaotoka mathalani Kagera kufika Dodoma kuliko kwenda hadi Dar.

Leo hii kwa tenkolojia ya habari hii tuliyonayo unahamishia makao makuu Dodoma ili iweje? Mtu ukitaka nyaraka hahitaji kuja Dar kutoka Kigoma au mtwara.

Hakuna hoja ya kuhamia Dodoma.
 
Back
Top Bottom