Hayo maswali yanahitaji logical explanations? Kila kitu wanasiasa wali centralize Dar es Salaam kwa miaka mingi, tuseme toka Uhuru, zamani hata ukitaka results slip lazima uende Dar es salaam, ukitaka kazi lazima uende Dar, Hakuna kipya huo mji, Kama Dubai pia tumefika, ingekuwa ujinga Ku compare Dar es Salaam na Dubai, ukweli ni kwamba kwa watu wapumbavu wasiiona madhara ya Ku centralize economic and physical infrastructure sehemu moja ya nchi ndio hawataona umuhimu wa expand opportunities somewhere else, hakuna nchi duniani ina uchumi wa kati wana mji mmoja tu umeshikiria uchumi, ndio maana unaona influx ya watu Dar es salaam ni kubwa, sio kwa kupenda but the pooling factors are so strong, MTU umesoma utafute kazi wapi?
But matter of fact is, huo sio mji ni takataka na mkusanyiko wa watu wengi just to survive. Any reasonable person anaeishi maeneo tofauti na masaki, oysterbay, mbezi beach, mikocheni and the likes hawezi furahi kuishi mji kama huo.
Jiji gani unanunua maji kwenye dumu? Once I got an opportunity to move out, I was delighted!!