Tukubaliane kabisa wanasiasa wanatupoteza, haiwezekani kila kitu dar pamoja na wao kuwa na majimbo huko vijijin ila wanakaa hapa mjini, yan haya majamaa siyapend niwe mkweli tu, utakuaje mbunge wa rombo unakaa daslama ? Leo si Alhamis mkuu ukienda masaki sehemu za starehe utayakuta tu mkuu..
Alafu ile ishue ya maji mkuu iko hivi mimi experince yangu, nlikuwa nakaa ilala sawa kule maji ni tatizo ila saiv nakaa kinondoni karibu na hizo sehemu ulizosema maji yakikatika yanakatika kama mkoani tu yan onetime chap alafu yanarud na I have three years in Kino, daah nchi inavituko hii.. Hata umeme haukatiki kiboya huku kino, si wakuu wote wapo huku mkuu, me nnachokuomba tupambane kutafuta hela haya majitu yanatumaliza taratibu na roho inaniumaga unakuta jitu barabaran linawashangilia aisee alafu paadae anakutumia msg ka kukukopa nawakaushiaga tu aisee, si tunapigwa na jua ye kazi yake kushangilia majitu ya ushuani huko kisa yamepewa ten ten 🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums