Serikali ipi imehamia Dodoma?

Serikali ipi imehamia Dodoma?

Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.

Mawaziri wanaapishiwa Dar

Mabalozi wanaapishiwa Dar

Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar

Rais muda wote yupo Dar

Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar

Makamu wa Rais muda wote yupo Dar

Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar

Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri Jafo naye yupo Dar

Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?

Swali zuri GT. Akija mataga au muimba mapambio yeyote akatoa jibu la kueleweka nukta hiyo hiyo nitamnunua kuku mwenye miguu mitatu anaetoa maziwa badala ya mayai.
 
Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.

Mawaziri wanaapishiwa Dar

Mabalozi wanaapishiwa Dar

Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar

Rais muda wote yupo Dar

Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar

Makamu wa Rais muda wote yupo Dar

Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar

Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri Jafo naye yupo Dar

Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
sasa mkuu yawekanaje uiache familia yako ukaishi kwa marafiki
 
niliwaambia watu siku mingi MANGUFULI AKIHAMIA DOM NA MIMI NAHAMIA DOM, kaenda kule kachinja na mbuz sijui nini karudi daslama, wakuu ivi nyie mnafanya mchezo na daslama ? Kila siku anazunguka hapa town, 🤣🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kati ya vitu vya maana alivyowahi kufanya Magufuli ni kuhamishia serikali Dodoma.. Hii imesaidia kupunguza idadi kubwa ya watu waliokuwa wanahamia Dar kwa kasi.. Angalau sasa Dar inapumua maana over population ilikuwa inainyemelea kwa kasi.

we jamaa daslama bado ina nyomi, walohamia ni wengi kuliko waliosepa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watahamiaje na jeshi halijahamia bado ,unadhani kila mwanajeshi anasifa zakufanya oparesheni ngumu..wewe VIP bwana au unaowaonaga wamenuna nyuma ya rais nambele yake wanatosha!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwaambia watu siku mingi MANGUFULI AKIHAMIA DOM NA MIMI NAHAMIA DOM, kaenda kule kachinja na mbuz sijui nini karudi daslama, wakuu ivi nyie mnafanya mchezo na daslama ? Kila siku anazunguka hapa town, 🤣🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi Dar ni mji nao wa kupiga tambo? Ukitoka kijijini lazima ushangae kila kitu ukifika Dar. Mji kama Lusaka tu upo mbali sana kuliko huo uchafu Dar es salaam! Watu wamerundikana kama mizigo kwenye hizo squatters, maisha gani hayo? Mji gani huo? MTU anayeona Dar ni jiji LA kusifiaaa hana exposure.
 
Hapa tunaongelea jiji la dar dhidi ya majiji mengine ya tz, Sasa unafanya ulinganifu na majiji mengine nje ya nchi?
 
Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.

Mawaziri wanaapishiwa Dar

Mabalozi wanaapishiwa Dar

Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar

Rais muda wote yupo Dar

Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar

Makamu wa Rais muda wote yupo Dar

Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar

Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri Jafo naye yupo Dar

Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?

Wanyonge ndio wamehamia Dodoma lakini na wao kila Ijumaa ni safari za Dar na jumapili unakuta basi za Dodoma ABC, CHAULA, SHABIBY etc zote zinajazwa na wanyonge wakiwa wanawahi kazi Jumatatu
 
Nivigumu sana ikulu kuwa Dodoma. Magogoni ni rahc ku escape. Sasa kule kwa wagogo njia ni mbili2 anga na nchi kavu

system error occurred
Kuna nchi nyingi zenye pwani ya Bahari lkn Ikulu zao zipo bara. Mfano Kenya, Nigeria, Ivory Coast, South Africa etc. Bongo tu ndio kuna matishio?
 
Back
Top Bottom