Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Serikali imeninyang'anya korosho zangu

Mkuu labda wewe Ni mgeni wa biashara lakini hakika ungelijua yanayoendelea huko mashambani usingeshangaa hili wafanyabiashara wanaonunua mazao asilimia 90 hawana leseni iyo kumi iliyobaki ndo wanaleseni tena Ni wale wakubwa ambao wengi husafirisha nje ya nchi
Kamanda hapa tunaongelea zao la korosho ambalo lina taratibu zake za manunuzi....
korosho hununuliwa mnadani tuuu na kama ukikutwa na korosho basi uwe una shamba.
 
Andika barua kwa board ya korosho
Na copy upuleke
1. Vyama vya kutete a haki za binadamu.
2. Embassy za USA.
3. Embassy za EU.
4. Embassy za Mafadhili.
5. NGO.
6. JPM.
Waombe wasiipatie Serikali misaada mpaka walipe korosho zako.
 
Hizi njema hazina hela. Walijua misele ya Mzee wa Msoga ughaibuni ilikuwa kula bata kumbe jamaa anatafuta mtonyo watoto wasife njaa. Sasa huyu bwana hana kitu ana tafuta upenyo kwa yoyote yule amkamue hasa hawa anawaowaita wanyonge.
Yaani.. Kama lengo ni serikali kununua kwa wakulima. Sawa
Kama huna lengo la kununua kwa mfanyabiashara si umwachie.. Acha tu hata zikindodea we nunua za wenye mashamba
Unachukua kinguvu na kutaifisha?
What is so special with korosho?
Mbona mazao mengine kimya?
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.

kuna siku niliwaambia watu kwenye mitandao ya kijamii "mtakuja kunywa juice ya korosho" nilikula matusi na kuambiwa akili yangu ndogo.sijui ni cheki hile post niwakumbushe
 
Hii biashara ipo kitambo, ipo kwenye korosho, ufuta, alizeti, viazi machungwa .n.k. Soko la mazap haliko rasmi, pia mkulima akilima na akivina anahitaji pesa kwa ajiri ya matumizi mengine, mwenye pesa yake hakatazwi kununua, na pia hivi serikali imepata wapi mamlaka ya kunyang'anya mali ya mtu? Si wasinge nunua korosho zake tuu.
Ata Bangi inavutwa kitambo tu lakini bado si halali
 
wengi tupo gzani me cjataifishiwa ila uhakika wa kulipwa ndo sina
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Pole mkuu, naamini chozi la fukara / masikini huwa halimwagiki Bure, Mungu atakulipa stahiki yako inshallah na madhulumati aya yatalipwa stahiki yao inshallah pia.

Pole sana Bro
 
mkuu sema kitu unacho fahamu sio porojo hakuna iyo biashara kwenye mazao yanayo simamiwa na ushirika ambayo yamechukuliwa pembejeo

tumbaku, korosho, pamba (hili la pamba sina uhakika maana nikipo wanalima bila ya dawa) haya mazao hakuna biashara ya mtu wa kati

alicho fanya mtoa bandiko ni wizi kwa mkulima na ushirika (maana wametoa pembejeo yeye anaenda langua mazao yao)

kama tu mkulima A haruhusiwi kuuzia kwa mkulima B (inaonekana anakwepa deni) iwe mtu mlanguzi
Hivi mfano nikiwa na tani 10 nikamuuzia mtu tani tani 2 nikijua kuwa inayobaki nitalipa deni kwenye hivyo vyama vya ushirika nitakuwa nimefanya kosa? Hivi wakulima wote hukopa pembejeo? Hivi mkulima anawezaje kukwepa deni la pembejeo huku akijua mwakani atazihitaji, kwenye tumbaku middle men wapo sana kinachofanyika ni kwamba mkulima anabakiza kiasi ambacho atawalipa hao wa ushirika.
Sijawahi kusikia vyama vya ushirika vikilalamika kudhulumiwa na wakulima.
 
Mkuu pole sana ila naomba urekebishe hapo unasema unaichukia Tanzania pasomeke unamchukia jiwe.... Jiwe ndiye chanzo cha haya yote piga moyo konde 2020 sio mbali
Kwan no kosa kuichukia Tanzania?? Hizo ndizo hisia zake, awe huru jmn
 
Najua Umeandika Ikiwa Kila Asomaye Akiumia
Kuna Neno Hili Ndiyo Utakaloitwa Kangomba
Sasa kangomba kama ni kosa basi wafungwe wote, hata wakuu wa mkoa, wilaya, MaDAS na ma DED ni kangomba mbona wanadunda tu.

Msiwape watu majina mkimaanisha ni mabaya ili muwadhulumu Mali zao bhana
 
Aisee so pain, nalia sijui nianzie wapi.

Baada ya kukaa bila ajira niliamua kujiajiri bihashara ikawa ngumu, ikabidi nibadilishe aina ya bihashara, kutokana na ndugu yangu alifanya biashara ya Korosho na ikamlipa nikaamua na mimi kutafuta riziki kupitia korosho.

Sikua na mtaji mbaba mmoja ni family friend alikuwa amestaafu so pensheni alikuwa nayo basi akanionea huruma na kunikopesha milioni kumi(10m).

Basi nkaenda kusini aise wananchi walikuwa na hali mbaya yaani mtu mwenyewe ndo anakuletea au kukuitia korosho, basi nilinunua tena bila kumlazimisha mkulima, bali mkulima ndo anakuomba ununua maana hata pesa ya sukari anakuwa hana.

Serikali walipokuja kuhakiki wakaniuliza kama nina shamba nkawaambia sina, me nimekuja kufanya bihashara kama mtanzania maana ni haki yangu kuishi popote,

Bila huruma wakataifisha korosho zangu, nilizimia baadae nkazinduka, Baba alipopata tarifa naye alizima gafra.

Mzee aliyenisave hela ananidai na serikali imechukua Korosho zangu.

Basi Baba ameamua kumuuzia shamba letu maana hakuna jinsi ya kulipa deni.

Naichukia sana Tanzania, sahivi naisi kujitoa muhanga.
Pole sana ndugu yetu lkn siyo wewe tu wapo wengi na wengine wamejitia kitanzi kabisaaa
 
Na atambue kuwa kuichukia serikali iliyo madarakani sio kosa bali kosa ni kuichukia nchi yako. Kuna sababu gani za kuipenda serikali kama imeingia madarakani kwa ulaghai, inaendesha dhuluma, mauaji na kuminya uhuru wa raia?
Hata mkoloni tuliyekuwa tunamchukia na kujiunga pamoja kumtoa kuna mambo alikuwa na nafuukuliko utawala huu haramu
Raha yangu ni kuliLIKE hili bandiko, akse I like it
 
Baba yangu jee ulikuwa na leseni ya biashara??????????????
Kisheria inawezekana kuwa wewe ni mlanguzi kwa sababu huna shamba wala leseni ya biashara hiyo.
Ninadhani mwisho wa siku mtalipwa ila jamani tujifunze kufuata sheria na taratibu zake.
Akikujibu kuwa alikuwa na leseni utamwambia nini?
 
Back
Top Bottom