Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

1.Umewahi kumuona Rais alifanya safari za anasa?

2.Swala la kusitisha kukopa Kwa Sasa ni hadithi za kufikiria maana hukopo Leo ukalipa kesho na Kwa situation ya Sasa mikopo ya Nje ndio inatakiwa Ili kuongeza reserves.

Hapa Serikali itafute zaidi mikopo nafuu

3.Hakuna kampuni ya kigeni itakubali kulipwa Kwa pesa ya madafu

4.Wizara ya Fedha na Mipango kuwa chini ya Ofisi ya VP ndio itaongeza reserves? Umeandika ujinga.

5.Tanzania haiwezi kuingia kwenye huo mgogoro kamwe,kama ilishindikana wakati wa uviko 19 ndio iwe saizi? Hakuna kitu kama hicho.

Mwisho naunga mkono utaratibu ambao BoT unaendelea nao wa rationing ya Dola ingawa Kuna Baadhi ya bidhaa tuzuie kabisa ku import hasa furnitures na Baadhi ya urembo na bidhaa zinazofanana na hizo.
Soma vizuri uelewe.

1. Yes, rais amefanya safari kadhaa za anasa (zisizo na tija kwa taifa). Yes, kutumia fedha za kigeni kununua magari ya kifahari ya kutembelea viongozi ni anasa.

2. Hakuna mkopo wa nje nafuu. Dola moja iliyokopwa mwaka 2010 ilikuwa na thamani ya shilingi 1200, leo hii dola moja hiyohiyo ni 2550!!

3. Nimesema wakandarasi wa ndani wapewe kipaumbele. Wakandarasi wa ndani wanalipwa kwa shilingi. Malipo kwa fedha za kigeni yafanyike kwenye maeneo ya lazima tu, kama vile miradi inayoendelea ambayo inafanywa na wakandarasi wa nje.

4. Wizara ya fedha kuwa chini ya VP itaongeza ufanisi na utendaji wa hiyo wizara kwakuwa utendaji mbovu wa waziri aliyepo sasa hivi ndio umetufikisha hapa. Anatakiwa kusimamiwa na mbobezi wa uchumi kama Dr. Mpango, ambaye kwa bahati nzuri ni VP.

5. Tanzania ya JPM ni tofauti kabisa na Tanzania hii ya SSH. wakati wa JPM hatukuwa na uhaba wa fedha za kigeni wala mafuta kama unaojitokeza sasa. Hatukuwa na migao ya umeme usiyoisha. Hatukuwa ombaomba huko Duniani.

Kwa kifupi ushauri wangu ni serikali ipunguze matumizi ya fedha za kigeni kwenye mambo yasiyo ya lazima na wizara ya fedha isimamiwe na mtu mwenye uwezo.

Umeelewa??
 
Nikikumbuka miezi 5 nyuma, bibi alisema Tz inaakiba ya kutosha ya fedha za kigeni kuliko nchi yyte ya EAC 🤣,

Ni wazi kama kikao cha Jana na world bank kisipo zaa Matunda basic, desember salary za polis na teachers hazitoki
Kwani ni uongo? Hadi Sasa Tanzania Ina akiba kubwa kushinda Nchi zote kasoro Uganda tuu,nae Uganda ni Kwa sababu ya pesa za mradi wa eacop ndio zimeongeza reserves.

Na Rais alikuwa anazungumzia katika muktadha kwamba kiwango Cha miezi tunayoweza kutumia,Tanzania ndio Iko Juu.

Mwisho Wakati Rais anaongea hayo Marekani alikuwa Bado haijabadili sera yake ya kupunguza Dola kwenye mzunguko Ili kukabili mfumuko wa bei na pia bei za mafuta Duniani zilikuwa zimeshuka.

Baada ya hizo situation mbili ndio zimeleta shida.Kuna Nchi zinapata mafuta Kwa kutegemea waagizaji Wetu.Malawi,Zambia,DRC,Burundi,Rwanda nk.

Kuna watu hamkumwelewa Mwigulu juzi,Kwa taarifa yenu tuu kampuni zetu za logistics ndio zinaongoza hapa Afrika Mashariki ku supply mafuta na bidhaa zingine kwenye hizo Nchi za jirani Sasa satylements nyingi wanafanyia Tanzania matokeo yake Tanzania inabeba mzigo wengine
 
Kuna nchi moja huko kuna viongozi wa mchongo, hawana uchungu na maisha ya raia pamoja na rasilimali zao.

Kiufupi ni kikundi cha wahuni tu, hawapo kusaidia raia bali kuwaibia tu, wapo kama vibaka.
Kenge hafi mpaka atoke damu kwenye masikio, kenge wa ccm ilibidi wapinduliwe, tatizo wale waliotakiwa kuwapindua, wana akili finyu kama mtoto wa darasa LA tstu, wanawaza kufuga kitimoto, kununua mashamba,kujenga vinyumba viwili vitatu,kujenga vi frem na kupangisha,
Sasa hv kule dar wana mega ardhi ya kambi ya lugalo ili kujenga flem za kupangisha!
Unajiuliza hii mijitu haisomi? Kwanini haiigi jeshi kama LA misri, ambalo, ni kama conglomerate Lina miriki makampuni kadhaa, Lina mchango mkubwa kwenye uchumi wa nchi, sio wa kazi za, ulinzi kama suma jkt, wanafanya vitu kama vya makampuni ya simu, civil, IT, logistic, ndani na nje ya nchi, kiasi kwamba jeshi linakuwa kama nchi ndani ya nchi,
Hawa wakwetu wapo bize kupanga jinsi watakavyopiga raia mitama kisa wamevaa nguo kama za wa jeshi!
So pathetic
 
Kwani ni uongo? Hadi Sasa Tanzania Ina akiba kubwa kushinda Nchi zote kasoro Uganda tuu,nae Uganda ni Kwa sababu ya pesa za mradi wa eacop ndio zimeongeza reserves.

Na Rais alikuwa anazungumzia katika muktadha kwamba kiwango Cha miezi tunayoweza kutumia,Tanzania ndio Iko Juu.

Mwisho Wakati Rais anaongea hayo Marekani alikuwa Bado haijabadili sera yake ya kupunguza Dola kwenye mzunguko Ili kukabili mfumuko wa bei na pia bei za mafuta Duniani zilikuwa zimeshuka.

Baada ya hizo situation mbili ndio zimeleta shida.Kuna Nchi zinapata mafuta Kwa kutegemea waagizaji Wetu.Malawi,Zambia,DRC,Burundi,Rwanda nk.

Kuna watu hamkumwelewa Mwigulu juzi,Kwa taarifa yenu tuu kampuni zetu za logistics ndio zinaongoza hapa Afrika Mashariki ku supply mafuta na bidhaa zingine kwenye hizo Nchi za jirani Sasa satylements nyingi wanafanyia Tanzania matokeo yake Tanzania inabeba mzigo wengine
Kiini cha tatizo bado umekiruka
 
Soma vizuri uelewe.

1. Yes, rais amefanya safari kadhaa za anasa (zisizo na tija kwa taifa). Yes, kutumia fedha za kigeni kununua magari ya kifahari ya kutembelea viongozi ni anasa.

2. Hakuna mkopo wa nje nafuu. Dola moja iliyokopwa mwaka 2010 ilikuwa na thamani ya shilingi 1200, leo hii dola moja hiyohiyo ni 2550!!

3. Nimesema wakandarasi wa ndani wapewe kipaumbele. Wakandarasi wa ndani wanalipwa kwa shilingi. Malipo kwa fedha za kigeni yafanyike kwenye maeneo ya lazima tu, kama vile miradi inayoendelea ambayo inafanywa na wakandarasi wa nje.

4. Wizara ya fedha kuwa chini ya VP itaongeza ufanisi na utendaji wa hiyo wizara kwakuwa utendaji mbovu wa waziri aliyepo sasa hivi ndio umetufikisha hapa. Anatakiwa kusimamiwa na mbobezi wa uchumi kama Dr. Mpango, ambaye kwa bahati nzuri ni VP.

5. Tanzania ya JPM ni tofauti kabisa na Tanzania hii ya SSH. wakati wa JPM hatukuwa na uhaba wa fedha za kigeni wala mafuta kama unaojitokeza sasa. Hatukuwa na migao ya umeme usiyoisha. Hatukuwa ombaomba huko Duniani.

Kwa kifupi ushauri wangu ni serikali ipunguze matumizi ya fedha za kigeni kwenye mambo yasiyo ya lazima na wizara ya fedha isimamiwe na mtu mwenye uwezo.

Umeelewa??
1.Narudia kukwambia Rais hajawahi na haitakuja kutokea akafanya safari za hasara.
Swala la sijui kununua magari ya Viongozi huna hata ushahidi zaidi ya kuropoka tuu.Kwa taarifa Yako tuu Rais amenunua magari mengi ya vitendea kazi Kwa taasisi kuanzia Wizara ya Kilimo hadi Halmashauri Sasa sijui hiyo ni anasa ya wapi.

2.Aliyekwambia ni lazima Dola itaendelea kushuka Kila mwaka ni nani? Harafu Dola inalipwa Kwa Dola Kwa hiyo thamani ya Shilingi ya Tanzania vs Dola haihusiki na kulipa Madeni,Ili kutunza thamani ya wakopeshaji ndio maana wanaweza riba.

3.Wazo ni zuri ila Hao wakandarasi wa ndani wenye uwezo wa utaalamu, Fedha na teknolojia wako wapi ili wapewe kazi? Bora hata ungesema kwenye Suala la sheria ya local content kwenye kazi za ukandarasi pale inapolazimu wa Nje kupewa walau 40% ya kazi afanye Sub iwe kisheria.

4.Umeandika ujinga,hata Kwenye vyeti tuu Mwigulu ana vyeti Vikali kuliko Mpango ndio maana nakwambia wewe ni mjinga , upungufu wa Dola haujasababishwa na utendaji wa Wizara ya Fedha au Mwigulu

5.Wakati wa Magu tuliwahi kuwa na uhaba wa mafuta ni Aisha unajitoa ufahamu au unadhani wote ni wajinga kama.wewe.Na haikuishia mafuta tuu hadi sukari,saruji,chanjo za Watoto Hadi condoms.Na yote hayo yalitokea wakati uchumi wa Dunia uko.poa na hauna Changamoto zozote.

Mwisho pamoja na Changamoto ya uhaba wa Dola na mafuta Bado uchumi wa Sasa ni mzuri na private sector inakua Kwa Kasi sana kuliko wakati wowote.Unaweza soma monetary statement ya BoT mwezi wa 8.
 
Kiini cha tatizo bado umekiruka
Kiini Kiko wazi hii ni shida ya Dunia sio internal na kusolve kwake ndani ya mda mfupi ni mikopo zaidi na ndio imewapa ahuenj hata Kenya, Egypt,Ghana, Zambia nk nk wakati Wanasubiria Hali itengamae hapo baadae.

Kusema ooh sijui magari sijui nini ,hakuna magari yanayonunuliwa.kila mwezi.
 
Magari mliyo nunua ya bilioni 500, mpaka mkamtimua Katibu muenezi kisa aliwaambia serikali ijitathimini
 
Kwani ni uongo? Hadi Sasa Tanzania Ina akiba kubwa kushinda Nchi zote kasoro Uganda tuu,nae Uganda ni Kwa sababu ya pesa za mradi wa eacop ndio zimeongeza reserves.

Na Rais alikuwa anazungumzia katika muktadha kwamba kiwango Cha miezi tunayoweza kutumia,Tanzania ndio Iko Juu.

Mwisho Wakati Rais anaongea hayo Marekani alikuwa Bado haijabadili sera yake ya kupunguza Dola kwenye mzunguko Ili kukabili mfumuko wa bei na pia bei za mafuta Duniani zilikuwa zimeshuka.

Baada ya hizo situation mbili ndio zimeleta shida.Kuna Nchi zinapata mafuta Kwa kutegemea waagizaji Wetu.Malawi,Zambia,DRC,Burundi,Rwanda nk.

Kuna watu hamkumwelewa Mwigulu juzi,Kwa taarifa yenu tuu kampuni zetu za logistics ndio zinaongoza hapa Afrika Mashariki ku supply mafuta na bidhaa zingine kwenye hizo Nchi za jirani Sasa satylements nyingi wanafanyia Tanzania matokeo yake Tanzania inabeba mzigo wengine
SS USA aweke sera yake ya kupunguza inflation,ndio BOT ikauke
 
Kiini Kiko wazi hii ni shida ya Dunia sio internal na kusolve kwake ndani ya mda mfupi ni mikopo zaidi na ndio imewapa ahuenj hata Kenya, Egypt,Ghana, Zambia nk nk wakati Wanasubiria Hali itengamae hapo baadae.

Kusema ooh sijui magari sijui nini ,hakuna magari yanayonunuliwa.kila mwezi.
Kwa iyo tusubirie WB ili tupone🤣
 
Kwa iyo tusubirie WB ili tupone🤣
Ndio njia ya haraka wakati njia za Kila siku zinaendelea.

Kwa ekinachopendekezwa Wala hakiwezi kuleta jibu.

Kuna magari na safari zinazokula.hela nyiingi kiasi Nchi upate shida? Uongo

Mtu anasema Wizara ya Fedha iwe chini ya Mpango,Sasa ndio italeta Dola?

Ooh wakandarasi wa kulipwa Kwa Shilingi wapewe kipaombele wako wapi Sasa?

Ni blaa blaa ambazo hazileti majibu saizi ,hizo Bado ni njia za mda mrefu manzi zingine ni ujinga tuu
 
SS USA aweke sera yake ya kupunguza inflation,ndio BOT ikauke
Duu kwani hiyo sera inafanya kazi Kwa ghafla? Harafu wapi BoT imekauka? Harafu Kwa taarifa yenu kabla ya Dola kuadimika kwenye masoko Duniani hakuna mahala BOT ilikuwa inaweka Dola kwenye mzunguko,soko lenyewe likuwa Lina regulate.

Inachofanya BoT saizi ni kujaribu kuongeza supply ya Dola kwenye soko na ilifanya hivyo Kwa mara ya mwisho mwaka 2012 wakati wa mtikisiko wa kifesha Duniani.

Kwa hiyo muelewe concept ya Dola sio kwamba hazipo kabisa Bali zimepungua na ndio Sasa BoT inatumika reserves zake kuingiza sokoni na hizo reserves zetu ndio zinaweza kumudu miezi 4.9 tuu.
 
Magari mliyo nunua ya bilioni 500, mpaka mkamtimua Katibu muenezi kisa aliwaambia serikali ijitathimini
Mkiambiwa nyie ni wajinga mtabisha? Bilioni 550 ndio expenditures ya mwaka mzima ya serikali kuhudumia magari mapya,mafuta na vipuri Sasa hayo magari ya bil.500 ndio magari gani? Ni mitambo ya jeshi?
 
Ndio njia ya haraka wakati njia za Kila siku zinaendelea.

Kwa ekinachopendekezwa Wala hakiwezi kuleta jibu.

Kuna magari na safari zinazokula.hela nyiingi kiasi Nchi upate shida? Uongo

Mtu anasema Wizara ya Fedha iwe chini ya Mpango,Sasa ndio italeta Dola?

Ooh wakandarasi wa kulipwa Kwa Shilingi wapewe kipaombele wako wapi Sasa?

Ni blaa blaa ambazo hazileti majibu saizi ,hizo Bado ni njia za mda mrefu manzi zingine ni ujinga tuu
Sawa utapewa hizo pesa , na zitaisha Tena 🤣, alafu utarudi Tena WB kama Sio ww, ikiomba Tena kiinua mgongo
 
Hilo ni tatizo la mda haliwezi dumu Kwa miezi zaidi ya 6 ndio Nchi nyingi Zina opt kukopa na hata likiendelea unakopa tena Wala hakuna shida.

Mwisho Kuna watu wanadhani BoT hakuna reserve za Dola 😁😁 na

Wapo wengine wanadhani kwamba Kwa nini Serikali isiwaite wanunuzi wa mafuta iwape Dola wakalete.mafuta 😆😆😆

Kama unafahamu tools za money supply basi hata Dola ziko regulated hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom