Serikali awamu ya sita inalipa mishahara mapema kabisa tarehe 22, imevunja rekodi ya Hayati Magufuli wa akilipa tarehe 25 mpaka 27. Hongera Rais Samia

Kutoka tarehe 27 ya mwezi wa tatu mpaka tarehe 27 ya mwezi wa nne ni siku 30.

Kutoka tarehe 22 na mwezi wa watu mpaka tarehe 22 ya mwezi wa nne ni siku 30.

Kujali watumishi sio kupunguza namba za tarehe bali ni kuongeza namba za mshahara.
Uko sahihi kabisa. Binafsi huwa siwaelewi wanaona mshahara kulipwa mapema ni jambo la kusifia.

Matatizo yanabakia pale pale, sababu mshahara hautoshi matumizi ya siku 30/31.

Cha kupigania hapo, ni kuomba mishahara iongezwe ili angalau itosheleze matumizi ya siku 30.

La sivyo, watarudi nyuma toka 25, ikaja 22 halafu tuende 15 na baadae tutarudi kwenye ile ile tarehe ya awali, 30/31!
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Kuna ONGEZEKO lolote Kwa mishahara hiyo? maana mmekiri Bei zimepanda na zitaendelea kupanda.
 
Zero brain, watakaokuelewa ni wale ambao hawajalipwa mishahara awamu zote. Ama wale ambao hawapo serikalini ktk ajira
 
Kuna utoto ukisoma unaishia kucheka tu.

Hili nalo unaweza kuta ni jibaba lenye mavuzi mkunduni.

Fanya kazi bwashee, acha ujinga wa kitoto.
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3
Kuwa na uelewa mkuu hata ungelipwa tarehe 1 haisaidii chochote ! Acha ushabiki mambo leo!
 
Kuna utoto ukisoma unaishia kucheka tu.

Hili nalo unaweza kuta ni jibaba lenye mavuzi mkunduni.

Fanya kazi bwashee, acha ujinga wa kitoto.
Screenshot_20220424-113635.jpg
wakati wenzio wanawekewa ubongo, wewe uliwekwa hii kitu
 
Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.

Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru.

Hakika anajali watumishi wa umma.

Viva mama SSH, nchi iko mikono salama.

Kazi inaendelea.

Eeeehh mama ajenga nchi....eeehh mama ajenga nchi *3

Unakimbizana na kivuli chako una akili kweli wewe? Kama una familia utakua ni mbokomu lumala kabisa wewe. Hisabati kweli ya vidudu umesoma? Manake nikikuuliza hesabu itakua nakuonea, hata basic maths mweupe kwa ivo sitakuuliza advanced wala pure maths.

22 hadi 21mzunguko wa mwezi unakuja ngapi? Na 25 hadi 24 je? Na mfano mwaka wa fedha wa TZ wa kiserikali unaanzaga mwezi wa 7 tarehe 1 hadi wa 6 tar30 ni muda gani huo mzunguko? Wa U.S wanakozindua filamu unaanza Oct 1 to Sept 30 ni mzunguko wa muda gani?

Halafu uko hapo unapiga kayamba kusubiri uteuzi tukuteue kweli wewe si utakuwa umejoin chain ya useless politician government officials.
 
Tunahesabu tarehe za mwezi husika, aliyekutuma kuunga miezi miwili ni nani? Hovyo kabisa
 
Mishahara gani ambayo inawahi huku makato 80% zinarudi hukohuko.Mwl 500,000. Cash 170,000.
Zingine zote makato
 
Back
Top Bottom