Serikali ya Rais Samia yaongoza kuwahisha mishahara kwa Watumishi wa Umma Barani Afrika

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu watanzania,

Serikali ya Rais Samia inaongoza kwa kuwahisha mishahara kwa watumishi wa umma Barani Afrika,yaelezwa kuwa Tangia kuingia madarakani kwa Rais Samia watumishi wa umma wamekuwa wakipata mishahara mapema zaidi ilivyo kawaida,Hali iliyoleta Tabasamu, matumaini,Furaha ,morali kazini,vicheko pamoja na kuongeza ufanisi kazini kwa watumishi wa umma.

Watumishi Wa Umma Tanzania wameendelea kuishi vyema na kwa furaha na Tabasamu pasipo usumbufu wa kucheleweshewa mishahara Yao. Ikumbukwe ya kuwa ili mshahara uitwe umechelewa au isemwe kuwa serikali imeshindwa kulipa mishahara kwa watumishi wa umma Ni mpaka mwezi husika na Tarehe za mwezi husika ziishe na kuingia mwezi mwingine, Jambo ambalo halijawahi kutokea katika uongozi shupavu na madhubuti wa mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani,kwa kuwa mishahara imekuwa ikitoka kwa wakati na kwa Tarehe za ndani ya mwezi husika.

Ndugu zangu watanzania , serikali ya mama yetu Rais Samia imekuwa ikifanya hivyo kuwahisha mishahara na kupongezwa na watumishi wa umma na familia zao ,kwa kuwa Rais Samia na serikali Yake wanatambua kuwa watumishi wa umma Wana mchango mkubwa Sana katika kukuza uchumi wa Taifa letu,kwa kuwa ili wananchi wapatiwe huduma Bora na nzuri kwa ukalimu , unyenyekevu na upendo waendapo mahospitalini Ni lazima watumishi wawe wenye furaha na amani ndani ya Mioyo Yao.

Ni lazima watumishi wa umma wawe Ni watu wenye utulivu wa akili na mawazo ,Ni lazima wasiwe wenye masononeko ya kucheleweshewa mishahara yao,ndio maana watumishi wa umma Ni wenye furaha,amani na Tabasamu Katika nyuso zao,ndio maana wanaendelea kuchapa kazi kwa bidii ,Nidhamu na uadilifu wa Hali ya juu Sana,ndio maana wanaendelea kuwapokea watanzania na kuwapatia huduma kwa mioyo ya upendo na Tabasamu kwa kuwa wanatambua namna serikali yao inavyowajali na kuwathamini mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa Taifa letu.

Ndio maana serikali Yao chini ya Rais wetu mama Samia imewaahidi mambo makubwa na mazuri Sana ikiwepo kuwaongoza Nyongeza ya mshahara ya kila mwaka, kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahiki zao,kuwalipa posho za kazi ,kuwalipa pesa za uhamisho na Kuendelea kutoa ajira kwa wingi ili kuongeza Kasi ya utoaji wa huduma pamoja na kuwapunguzia mzigo watumishi waliopo kazini katika kuwahudumia watanzania.

Rai yangu kwa watumishi wa umma Ni kuwaombeni Kuendelea kumuunga mkono Rais wetu na mama yetu mpendwa mama Samia kwa kuchapa kazi na kujituma kwa bidii na uadilifu wa Hali ya juu Sana, kuwa wazalendo na wenye upendo na Taifa letu. Katu na kamwe msikubali watu wemye nia ovu wawachonganishe na serikali yenu,msikubali kupandikizwa maneno ya uongo na uchonganishi.serikaili yenu IPO imara,mama yenu na Rais wenu yupo imara na yupo pamoja nanyi na anawategemeeni Sana katika kulipeleka mbele Taifa letu kiuchumi na kimaendeleo.

Rais wetu anawapendeni Sana ndio maana amekuwa msikivu kwenu,ndio maana amewalipeni madai yenu mengi Sana na ataendelea kufanya hivyo kwa kadri Hali ya uchumi itakavyokuwa inaruhusu ,kumbukeni alikowatoeni, kumbukeni alivyowapeni Tabasamu na furaha katika mioyo yenu ndani ya muda mfupi wa uongozi wake madarakani.

Tambueni Kuna watumishi wa umma wa nchi jirani wanatamani wangekuwa wanaongozwa na mama Samia ili wapate Neema muipatayo ninyi, jivunieni uwepo wa Rais wetu mama Samia kwa namna anavyowajali, majina yenu yataandikwa kwa wino wa Dhahabu tutakapo paa kiuchumi.

Mimi Lucas Mwashambwa nawaaseni Kuendelea kuchapa kazi kwa bidii Sana ,jioneni wenye bahati kuwa ndani ya utumishi wa umma kati ya maelfu ya vijana wanaotamani kuingia kwenye utumishi wa umma serikalini kulitumikia Taifa letu, nyie ni wenye bahati katika kuwahudumia watanzania na kulitumikia Taifa letu .bebeni Bendera yetu ya utumishi kwa watanzania katika mioyo yenu.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Serikali ya Rais Samia inaongoza kwa kuwahisha mishahara kwa watumishi wa umma Barani Afrika,yaelezwa kuwa Tangia kuingia madarakani kwa Rais Samia watumishi wa umma wamekuwa wakipata mishahara mapema zaidi ilivyo kawaida,Hali iliyoleta Tabasamu, matumaini,Furaha ,morali kazini,vicheko pamoja na kuongeza ufanisi kazini kwa watumishi wa umma.

Watumishi Wa Umma Tanzania wameendelea kuishi vyema na kwa furaha na Tabasamu pasipo usumbufu wa kucheleweshewa mishahara Yao. Ikumbukwe ya kuwa ili mshahara uitwe umechelewa au isemwe kuwa serikali imeshindwa kulipa mishahara kwa watumishi wa umma Ni mpaka mwezi husika na Tarehe za mwezi husika ziishe na kuingia mwezi mwingine, Jambo ambalo halijawahi kutokea katika uongozi shupavu na madhubuti wa mama yetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani,kwa kuwa mishahara imekuwa ikitoka kwa wakati na kwa Tarehe za ndani ya mwezi husika.

Ndugu zangu watanzania , serikali ya mama yetu Rais Samia imekuwa ikifanya hivyo kuwahisha mishahara na kupongezwa na watumishi wa umma na familia zao ,kwa kuwa Rais Samia na serikali Yake wanatambua kuwa watumishi wa umma Wana mchango mkubwa Sana katika kukuza uchumi wa Taifa letu,kwa kuwa ili wananchi wapatiwe huduma Bora na nzuri kwa ukalimu , unyenyekevu na upendo waendapo mahospitalini Ni lazima watumishi wawe wenye furaha na amani ndani ya Mioyo Yao.

Ni lazima watumishi wa umma wawe Ni watu wenye utulivu wa akili na mawazo ,Ni lazima wasiwe wenye masononeko ya kucheleweshewa mishahara yao,ndio maana watumishi wa umma Ni wenye furaha,amani na Tabasamu Katika nyuso zao,ndio maana wanaendelea kuchapa kazi kwa bidii ,Nidhamu na uadilifu wa Hali ya juu Sana,ndio maana wanaendelea kuwapokea watanzania na kuwapatia huduma kwa mioyo ya upendo na Tabasamu kwa kuwa wanatambua namna serikali yao inavyowajali na kuwathamini mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa Taifa letu.

Ndio maana serikali Yao chini ya Rais wetu mama Samia imewaahidi mambo makubwa na mazuri Sana ikiwepo kuwaongoza Nyongeza ya mshahara ya kila mwaka,kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahiki zao,kuwalipa posho za kazi ,kuwalipa pesa za uhamisho na Kuendelea kutoa ajira kwa wingi ili kuongeza Kasi ya utoaji wa huduma pamoja na kuwapunguzia mzigo watumishi waliopo kazini katika kuwahudumia watanzania.

Rai yangu kwa watumishi wa umma Ni kuwaombeni Kuendelea kumuunga mkono Rais wetu na mama yetu mpendwa mama Samia kwa kuchapa kazi na kujituma kwa bidii na uadilifu wa Hali ya juu Sana,kuwa wazalendo na wenye upendo na Taifa letu.katu na kamwe msikubali watu wemye nia ovu wawachonganishe na serikali yenu,msikubali kupandikizwa maneno ya uongo na uchonganishi.serikaili yenu IPO imara,mama yenu na Rais wenu yupo imara na yupo pamoja nanyi na anawategemeeni Sana katika kulipeleka mbele Taifa letu kiuchumi na kimaendeleo.

Rais wetu anawapendeni Sana ndio maana amekuwa msikivu kwenu,ndio maana amewalipeni madai yenu mengi Sana na ataendelea kufanya hivyo kwa kadri Hali ya uchumi itakavyokuwa inaruhusu ,kumbukeni alikowatoeni, kumbukeni alivyowapeni Tabasamu na furaha katika mioyo yenu ndani ya muda mfupi wa uongozi wake madarakani.Tambueni Kuna watumishi wa umma wa nchi jirani wanatamani wangekuwa wanaongozwa na mama Samia ili wapate Neema muipatayo ninyi,jivunieni uwepo wa Rais wetu mama Samia kwa namna anavyowajali, majina yenu yataandikwa kwa wino wa Dhahabu tutakapo paa kiuchumi.

Mimi Lucas Mwashambwa nawaaseni Kuendelea kuchapa kazi kwa bidii Sana ,jioneni wenye bahati kuwa ndani ya utumishi wa umma kati ya maelfu ya vijana wanaotamani kuingia kwenye utumishi wa umma serikalini kulitumikia Taifa letu,nyie ni wenye bahati katika kuwahudumia watanzania na kulitumikia Taifa letu .bebeni Bendera yetu ya utumishi kwa watanzania katika mioyo yenu.

Loh
Joke imetulia sana
 
Sifa za kijinga, kwani Iko wapi tofauti ya kutoa mshahara mwisho wa mwezi na katikati ya mwezi, Kuna nafuu gani kumaisha Kama utakuwa unatoka mshahara Kila ifikapo tarehe 10 ya Kila mwezi
 
Enzi ya magu tulikuwa tunapata kwenye tarehe 19 lakin mqma anatufanyia tarehe 21 kweli? Na umekaa hapo unatetea ujinga? Kenge kabisa!!!
 
Back
Top Bottom