Uchaguzi 2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

Huu ujumbe wako umenifikirisha sana mkuu.
Kama alitangaza fomu yake imeibiwa basi alitaka kusababisha taharuki, naona kama kuna kutafuta umaarufu na kuchafuana tu kwenye tukio hili.
Kosa la aliyeweka pingamizi ni mwanasiasa, ilitakiwa jeshi la polisi lifanye uchunguzi kama mgombea aliyedai kuibiwa nakala ya fomu alisema ukweli au aliongopa kuchochea vurugu.

Kama mwongo hii ni jinai.
 
Wamewauzia nani, huyo anunuaye hajakosea?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
IGP ni mtoa miongozo na maamuzi hivyo kauli yake ni muhimu
IGP atatolea kauli matukio mangapi ya kihalifu yanayotokea kila siku hapa Tanzania? Mkuu, au unafikiri CHADEMA peke yao ndio watanzania? Mimi juzi kati hapa kuna mdogo wangu aliporwa simu na vibaka kule Tandale akaenda kutoa taarifa Police. Kwa hiyo mpaka hii nayo IGP atoe kauli yake?
 
Ni swali tu nimeuliza baada ya kusoma tweet hii ya mmoja wa wagombea ndugu Boniface Jacob.
View attachment 1547469
Swali lipi umeuliza? Kwanza huyo mtu aliyetweet ana tatizo la akili, kwahiyo taarifa zake nyingi anazozitoaga hazinaga ukweli. Inategemea tu siku hiyo kichwa chake kinamtuma afanye nini?
 
Haki HUINUA TAIFA.

Nyie chama cha kishetani CCM tendeni haki ktk uchaguzi huu la sivyo mnataka kuendelea kudidimiza taifa.
Jinga kabisa cdm na vichaa wengine. Mnaigiza kutekwa ili kuichafua serikali ya ccm.
 
Unasema propaganda? Kwa sasa nipo Tunduma hapa mambo yalitokea tangu jumapili ni aibu, sili zilivuja kuwa ccm inataka kupora kata nane, kweli jumapili waliwakamata wagombea wa CHADEMA wakawasweka mahabusu kisha kuwanyima dhamana kwa wale walioshindwa kuwakamata wamewaengua kihuni ili mradi tu watimize ushetani wao, aibu kabisa.
 
Mhh bado naamini mwaka huu October tutakuwa na uchaguzi bora zaidi ya ule wa Serikali za mitaa
 
Jinga kabisa cdm na vichaa wengine. Mnaigiza kutekwa ili kuichafua serikali ya ccm.
We mbwa endelea kufurahia hayo mambo mnayotekelezwa huku mkilindwa na polisi...... Ng'ombe kabisa nyie jamaa

ccm ni chama cha kishetani
 
Wewe ni Msengwe sana ujue
 
Wewe ni Msengwe sana ujue
Umemaliza matusi yote mkuu?
Kama vipi niongezee kunitukana matusi mazito zaidi ya nguoni au hata mababu zangu watukane tu ili mradi uridhike, kisha njoo tujadili hoja au toa maoni yako nini kifanyike na nini kisifanyike.
 
Umemaliza matusi yote mkuu?
Kama vipi niongezee kunitukana matusi mazito zaidi ya nguoni au hata mababu zangu watukane tu ili mradi uridhike, kisha njoo tujadili hoja au toa maoni yako nini kifanyike na nini kisifanyike.
Hakuna hoja hapo zaidi ya Usengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…