Series ya Squid Game imefanikiwa kuingiza Dola za Kimarekani 900M ikiwa ni zaidi ya Tshs Trilioni 2, mwezi mmoja tu tangu itoke

Mkuu, kiukweli mimi sio mpenzi wa series ila kwa hii SQUID GAMES nimeipigia saluti.
Sehemu inayo ichekesha sana ni kile kipande cha kucheza goroli.
Nilicheka sana pale
Ha ha pale panafurahisha sana..
images%20(4).jpg
 
Mm nauliza kwavile tunaishi hii Social media era au ni kitu gani? Maana mm mpaka sasa sion kitu special kwenye ile Series, don’t get me wrong.. sisemi kuwa ile ni mbaya ila naona kilichochangia itazamwe sana ni Memes na social media trending watu walikuwa wanaifanyia marketing indirectly bila kujua... still wanafanya mpaka sasa.

Mfano kuna watu wanakuuliza what’s up with this Squid game...hata yule mtu ambae haangaliagi movie, ukimtajia anaenda kuangalia ili aelewe ile pop culture reference kwenye post alioiona
Nakubaliana na wewe 10000%
 
Back
Top Bottom