Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwenye Special Ops Lioness kuna mume wa yule mmama( Cathy) ukimsikiliza kwa makini utajua kwa kiasi kikubwa kuna watu wachache sana wanao ratibu mambo mengi sana ya hii Dunia.
Yule anajua mno series kalii sema upinde unazingua
 
Nairudia tena mzigo mtamu hauchoshi
The-Wheel-of-Time.jpg
 
Wakuu naona 'From' inaelekea kuwa kama Lost hivi, zile twists zake na maswali mengi ambayo hayana majibu.

Wanaweza wakapiga mpaka season 5 kama story itaendelea kuwa vizuri.

Nimeipenda kwa kweli. Hijack nayo ilinipa good time. Soon nitahamia kwenye mizigo mengine then nitakuja kuwapa feedback.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom