Series (Special thread)

Series (Special thread)

Karibu sana Mkuu Rocky inaanza January sijajua tarehe, naisubiri kwa hamu kuu maana inaonekana itakuwa bomba. Pia ukipata nafasi itafute movie inaitwa Selma ya Oprah inasifiwa sana. Inaonyesha jinsi weusi US walivyonyanyaswa katika kuzidai haki zao mbali mbali haki ambazo pamoja na kuwa kuna ahueni lakini safari bado ni ndefu.
Nataka Ile ya last ship season ya 2 mpka 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzigo huu upo ep ya pili
Screenshot_20230809-232539.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom