Hata iwe 1440 mwandishi wetu wa mashairi, ila bado hujanishawishi..!!Hiyo ni 1080 dada
Hahahaha we hujui kuangalia movies zenye Quality kubwa zina utamu wake pia?Hata iwe 1440 mwandishi wetu wa mashairi, ila bado hujanishawishi..!!
😂😂😂😂Hahahaha we hujui kuangalia movies zenye Quality kubwa zina utamu wake pia?
Majuzi nimeshusha movie moja ya kizamani ya Donnie Yen ile Tiger Cage ya mwaka 1988.
Movie nimeishusha ikiwa na 5GB
View attachment 2705514
Unataka ukatazame yale matiti ya watoto wa South AfricaIm looking for shaka ilembe whole season, mwenye anajua pa kuipakua help plz
Hijack imeisha vizuri sana [emoji16]HIJACK EPISODE YA 7 IPO ONAIR
Imeisha? Star hajaonana na familia yake, hatma ya wale majambazi wawili haijajulikana wameimalizaje kizembe namna hiyo!!! Bora episode 7 wangeipa dakika 190 kuliko zile 56 ambazo hazikuonesha hayo niliyo taja hapo juuHijack imeisha vizuri sana [emoji16]
Mambo mengine subiria Season 2 kama itakuwepoImeisha? Star hajaonana na familia yake, hatma ya wale majambazi wawili haijajulikana wameimalizaje kizembe namna hiyo!!! Bora episode 7 wangeipa dakika 190 kuliko zile 56 ambazo hazikuonesha hayo niliyo taja hapo juu
Ni kweli hata mimi nimeona hivyoMambo mengine subiria Season 2 kama itakuwepo
Mimi nilisoma sehemu kuwa HIJACK ina episode 7 tu na kila episode inakuwa released siku ya Jumatano, saa 2 asubuhi (kwa saa za London)
Kwa hiyo ni more likely episode 7 ndio ya mwisho
View attachment 2706852
Nimejuta kuishusha SILO haijanivutia kabisa na wala sijaelewa hii series naona imekaa kishamba sana bora niendelee na MANIFEST yangu
Huwezi amini nimeitazama jana ndiyo nikashangaa, ikabidi nije nitafute reference humu ndiyo nakutana na comment yako..!!Hiyo Nimona nasikia ina ushoga [emoji1][emoji1]
Nimeangalia trailer la "ELEMENTAL" Inaonekana itakuwa kali sana. Hiyo ndio naisubiria kwa hamu
The last ShipNipeni series ya kuangalia jamani inayoendana na hizi mbili maana nimemaliza kuziangalia sitaki zingine naona Kama Ni mbaya
Breaking bad
Prison break
[emoji3577][emoji3577]From S01 & S02 nimezimaliza sasa nasubiri muendelezo. Sharauti sana kwako Reuben Challe
Wakati srver zipo down nilikuwa jikoni napakua Episode 7 ya Hijack
View attachment 2707182
View attachment 2707184
Saizi nipo naicheki hapa
View attachment 2707187
Nikitoka hapo naamia Tehran afu nagusia kidogo na The Bear
Mimi hata sijajisumbua kuiangaliaHuwezi amini nimeitazama jana ndiyo nikashangaa, ikabidi nije nitafute reference humu ndiyo nakutana na comment yako..!!