Series (Special thread)

Inavyoanza unaweza ukaona wanakupotezea muda,ila ile ndo maana halisi ya ujasusi!
The Americans nayo ina ujasusi wa maana!
Kaka the american ni balaa aisee kuna kina nina , elizabeth,philip aloo sio powa kama mtu ana penda ukachero aicheki kwanza imetumika akili mno humu
 
Nimejuta kuishusha SILO haijanivutia kabisa na wala sijaelewa hii series naona imekaa kishamba sana bora niendelee na MANIFEST yangu
 
Pole nimeizungumzia humu kila nilipokuwa namaliza episode moja. Hiyo inaufanya na pumzi viende harakaharaka 😁😁 muongozaji ejitahidi sana. Waigizaji wametendea haki nafasi zao
Hapa kweli Director alikalisha makalio chini, yani kila episode ni kali 😀
 
Kuna mdau humu nakumbuka tulikesha tukibishana kuhusu hii series
Ipotezee, sio radha yako man.

Hii hata mie season 1 niliimaliza kwa tabu sana...but nilimaliza series yote na kuna seasons ni nzuri sana tu.
 
Wewe unapata hadi za kikorea unakosa hiyo?
Ha ha haaa, kaka cjui uzee...Scallia ya Telegram ilinilemaza, now imefungiwa nahangaika kweli.

I real need direct links...hizi za .com nimekua mvivu kweli, but nitajaribu again
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…