Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,326
- 4,568
Angalia THE CAPTUREHapana mkuu hio niliangalia season 1 nkaona ni upuuzi mtupu
Inahusiana na nini?Kuna Tv Show inaitwa Messiah ... Hii Series Ni Moja Ya Series Bora ambayo haijawai tokea .. Na-recommend kwa kila mwana JF aangalie hii series, Unfortunately ina Season 1 tu na Season 2 wame-cancel kuitoa ... Guy's it worth watchin
Nimeimaliza shoo iko poaaOUTER BANKS Ndiyo Jina la series
Nimeimaliza safi sana season 1icheki na outer banks. Hautojutia muda wako
Umeangalia hadi wapi?? Breaking Bad ni series kali mara 100 ya PBKuna watu walikua wanasema Breaking Bad ni nzuri kuliko Prison Break, kwa kua sikuwahi kuiangalia nikasema weekend hii nitizame, aiseee kwanza wajitaje wenyewe na wachague adhabu mapemaaaa, kisha waiombe msamaha Prison Break mara 100 hizi ni dharau zilizopitiliza,
Ni kweli BB ni nzuri kulingana na story yake na rate ya utazamaji imeipita PB ila bado haiondoi kua PB ni baba lao, kuanzia 2005 hadi sasa, haijachuja, haijaboa na hakuna wa kuifikia.
Nimeangalia hadi wapi tena? Kwa hiyo kuna sehemu ikifika ndio inaanza ukali wake? Maana nimeshamaliza season 2Umeangalia hadi wapi?? Breaking Bad ni series kali mara 100 ya PB
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Kwani BB inatakiwa iangaliwe hadi wapi ndo iwe tam?? Acheni pambio sijui Bb ikiendelea mbele ni kali wakati hamna ishu. Prison break baba laoUmeangalia hadi wapi?? Breaking Bad ni series kali mara 100 ya PB
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Wana masikhara hawa kwa kweli,Kwani BB inatakiwa iangaliwe hadi wapi ndo iwe tam?? Acheni pambio sijui Bb ikiendelea mbele ni kali wakati hamna ishu. Prison break baba lao
Kuna kitu kinaitwa mahaba, usipokuwa makini mara nyingi matumizi ya akili huwa ni madogo na hisia hutawala zaidi kuliko uhalisia!!!!!!!!!!!!Kuna watu walikua wanasema Breaking Bad ni nzuri kuliko Prison Break, kwa kua sikuwahi kuiangalia nikasema weekend hii nitizame, aiseee kwanza wajitaje wenyewe na wachague adhabu mapemaaaa, kisha waiombe msamaha Prison Break mara 100 hizi ni dharau zilizopitiliza,
Ni kweli BB ni nzuri kulingana na story yake na rate ya utazamaji imeipita PB ila bado haiondoi kua PB ni baba lao, kuanzia 2005 hadi sasa, haijachuja, haijaboa na hakuna wa kuifikia.
Umezunguka sana ungeenda moja kwa moja kwenye point yako, mada ni PB vs BBKuna kitu kinaitwa mahaba, usipokuwa makini mara nyingi matumizi ya akili huwa ni madogo na hisia hutawala zaidi kuliko uhalisia!!!!!!!!!!!!
Huwa nashangaa watu wanaposema movie au series fulani ni bora wakati huo zinatofautiana story, wahusika, maeneo ya uigizaji, muda wa uigizaji,n.k!!!!!!
Kwa uzoefu wangu wa kuangalia movie na series vitu vikubwa ambavyo vitaifanya iwe bora ni vitatu ambavyo ni:
1)Wahusika (Characters)
2)Mandhari (Theme)
3) Matukio (Plot)
Unaweza kuwa na story nzuri lakini ikikosa hivyo vitu hapo juu itaonekana ni mbaya.
Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!
Hapo huwezi sema PB ni kali zaidi ya BB na wala huwezi sema BB ni kali zaidi ya PBUmezunguka sana ungeenda moja kwa moja kwenye point yako, mada ni PB vs BB
Kwa mtazamo wangu mikwaju yote mikali, njooni huku kuna mkwaju naucheki BEL AIRHapo huwezi sema PB ni kali zaidi ya BB na wala huwezi sema BB ni kali zaidi ya PB
Zote ni nazipa rating ya 8+
Kila moja ina ladha yake
Bel airKwa mtazamo wangu mikwaju yote mikali, njooni huku kuna mkwaju naucheki BEL AIR
PB ipewe heshima yake, isifananishweHapo huwezi sema PB ni kali zaidi ya BB na wala huwezi sema BB ni kali zaidi ya PB
Zote ni nazipa rating ya 8+
Kila moja ina ladha yake
Umefurahi mama mkweBel airplease
PB kwanza ina matumizi ya akili, kila episode inapoisha inakupa hamasa kucheki next, story haichoshi kuanzia inavyoanza ni amsha amka mpaka mwisho naungana na wewe PB ni level nyingine ila breaking bad story yake imeanza slowNimeangalia hadi wapi tena? Kwa hiyo kuna sehemu ikifika ndio inaanza ukali wake? Maana nimeshamaliza season 2
kwanza ni series mbili zenye vionjo tofauti.Umezunguka sana ungeenda moja kwa moja kwenye point yako, mada ni PB vs BB