Series (Special thread)

Snowfall s06 e09 tayari ishatoka, tunasubira e10 tuone kama Teddy alikufa kweli au kulikuwa na uhuni
 
The ark ,ukipata muda icheki Ni tamu sana,it like dunia sio sehemu salama so jamaa wakatengeneza ship ya kwenda sayari nyingine,founder wa hiyo idea anaitwa William trust,before walijua ipo ship moja inaitwa ark 1 but wakati wapo angani wakashambuliwa kuja kugundua kumbe Kuna ship nyingine inaitwa ark 15 then Kuna ark 3 ,Sasa Hawa ark 15 hawataki hizi zingine zifike huko kwenye sayari nyingine ipo episode ya 11 season 1
 

Nakubaliana na wewe ndugu,matukio mengi wamefanya rahisi rahisi sana mpaka inapoteza utamu wa kuangalia….Hata rabitt hole nayo matukio mengi wameweka rahisi rahisi sana….mfano jamaa anatafutwa kwa mauji picha yake ipo kila kona mpaka kwenye tv bado anaenda polisi kirahisi rahisi tu na kutoka.
 
Ile ya kumteka raisi ndo ilikua mbovu kabisa raisi wa marekani unamteka kirahisi namna ile angalau wangeweka changamoto kidog
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…