prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,293
- 3,649
Pata muda niangalieni na hii kitu
Rafiki huu unyama umeupata site gani? Weka link psePata muda niangalieni na hii kituView attachment 2438080
Naona na netnaija ipoRafiki huu unyama umeupata site gani? Weka link pse
www.next-episode.netHivi Baharia mweuc unatumia website gani kuangalia mwendelezo wa series au kujua itatoka lini? Share nasi please!
Pia kuna;Hiyo Debris nimeikubali. Mfano mwengine wa series kama hiyo ni Fringe, km ulishaicheki hongera na km bado basi usisubiri.
Bonge moja la series1899 naona kama nimeshindwa ielewa..fiction nyingi halafu sizelewi..nimetemana nayo.
Sasahivi nipo na Tusla King.
#MaendeleoHayanaChama
natengenza mkuu soon itakua readyWAKUU HIVI NI WEB\APP GANI NTAPATA MOVIE ZILIZOTAFSIRIWA KWA KISWAHILI SINGLE\ SERIERS
Kweli unatengeneza?natengenza mkuu soon itakua ready
Yes Brother i hope naimaliza soonKweli unatengeneza?
sawa tunaisubiri maana ni adimu sananatengenza mkuu soon itakua ready
Pata muda niangalieni na hii kituView attachment 2438080
Ndio mkuu mwakani watatoa season 3 Mzee washaconfirmWazee hii gangs of london kuna taarifa yoyote ya muendelezo wa season 3?
Nacho wapendea hao jamaa wakiamua kushughulikiana wanashughulikiana kwelikweliNdio mkuu mwakani watatoa season 3 Mzee washaconfirm
El Cuerpo del Deseo (Second Chance) telenovelaAssalam aleykum.....
Wakuu samahani nahitaji msaada wenu..
Kuna tv show ilikua inarusha itv/startv (hispaniola)....moja kati ya washiri alikua salvador...
Kilichonileta hapa,,kwenye ile show kuna opening song wanaimba kihispania halafu inacharazwa gitaa moja maridad....naihitaji ile series ili niupate wimbo tu...
So kama kuna mtu anajua jina la wimbo au waimbaji naomba jina nitautafuta mwenyewe...
Waasalaam...Alamsik
Designated survivor aisee Ni bonge moja la series hio mishe sio kitoto humo ndani yaan Kama bonge bunge lilipuliwe wafe Viongozi wote abaki mmoja ambae alikua home ndio apewe urais .Hivi kati ya snowfall na designated survivor upi mzigo wa kuangalia??
Yaan series naipita tu kila siku, nikitaka kuiangalia simalizi dak kadhaa naacha, bado nipo "pilot" naitafutia kasi.Designated survivor aisee Ni bonge moja la series hio mishe sio kitoto humo ndani yaan Kama bonge bunge lilipuliwe wafe Viongozi wote abaki mmoja ambae alikua home ndio apewe urais .