Series (Special thread)

Yeah! Mkuu anajua kudeal nao na akishakujua hayo maamuzi yake utasema huyu ni chizi sio mzima

Halafu jamaa ni royal sana yeye hajali kuwa wewe ni mtu wake wa karibu au mbali ukiwa snitch ana deal na wewe! Nakumbuka mchumba wake alikuwa anataka kumkamatisha Ghost halafu akamwambia yeye kuwa tumchomeshe Ghost daaa jamaa ilibidi amuondoe mchumba ake baada ya kuona ni snitch!
 
Kweli kabisa na tabia hiyo anayowafanyia wenzake alafu wao hawawezi kuwa Loyal kwake ndio ilimuuma sana kuona mkewe Ghost na mwanae wanamsnitch.....Alitokea kwenye Power II na kukinukisha hatari maana walimpakazia yeye ndio kamuua Ghost kumbe sio kweli
 
Kwa hyo Ghost atakufa?
 
Holly alimnyongelea mbali, ila alikapenda sana kale kademu

Sasa kama aliweza kumuondoa mpka baba ake kuna mtu hapo?

Ila sema hii power book IV kama siielewi vile..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…