Series (Special thread)

Ubaya hii series ilitoka season 1 then wakaipiga chini
 
Maelezo kidogo..kuhusu hii.

#MaendeleoHayanaChama

Ni story ya kweli inayohusu ndugu wawili demetrius and terry flenory,hawa jamaa walikua wanafanya biashara ya madawa ya kulevya na utakatishaji wa fedha(money laundering)mimi niliangalia documentary yao hii series ninayo ila bado sijaingalia na mmoja wa waigizaji ni mtoto wa demetrius..
 
Mzigo mkali sana huo 50 cent anafanya unyama sana kwenye haya madude yanayohusu maisha halisi ya mtaa
 
Nacheki Umbrella Academy naona iko poa kiasi chake. Japo Eliot kabadiri jinsia na kua Mwanaume
 
Kweli na mimi ni fan wa series na movies zote ambazo either 50cent kaigiza au kaproduce lazima niziangalie maana zinafundisha sana kuhusu maisha.
Fifty is an inspiration to hustlers he knows how to navigate life. Kama ulisoma vitabu vyake vya The 50th Law na Hustle Hard, Hustle Smart anakuambia akiamua kufanya jambo anafanya bila kuacha kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…