Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Nisaidie link ya Tehran season 2,nimeishia season 1Tehran ilitoka mpaka season ya 3 then wakasitisha kutoa season 4
Nisaidie link ya Tehran season 2,nimeishia season 1Tehran ilitoka mpaka season ya 3 then wakasitisha kutoa season 4
Mkuu mbona nimekutana na habari hii, au ni Tehran Ipi mnaizungumzia?Tehran ilitoka mpaka season ya 3 then wakasitisha kutoa season 4
Mimi pia niliishia season ya kwanza pekeeHao naona wamegoma kutoa season 2
Kwani series zinazoitwa Tehran zipo ngapi wazee maana mnachanganya mnavyosema mmeziona mpk season ya 3 wakati Tehran iliishia season 1 episode ya 8 ndo tunasubil season 2 ,labda kama nyingn tofaut na hii inayozalishwa na Apple3 nimecheki nikajua ya 4 ipo
Duh Tehran ipi hiyo mkuu?Tehran ilitoka mpaka season ya 3 then wakasitisha kutoa season 4
Mimi mwenyewe nimeishia season ya kwanza episodes 8,,Kwani series zinazoitwa Tehran zipo ngapi wazee maana mnachanganya mnavyosema mmeziona mpk season ya 3 wakati Tehran iliishia season 1 episode ya 8 ndo tunasubil season 2 ,labda kama nyingn tofaut na hii inayozalishwa na Apple
Hahahahha so sorry guys nimechanganya mafiles wakati naandika huko juu nilikuwa busy so nikachanganya na series ya middle east iliishia season 3
Middle East ni series gani bro?Hahahahha so sorry guys nimechanganya mafiles wakati naandika huko juu nilikuwa busy so nikachanganya na series ya middle east iliishia season 3
Hapana nimemaanisha kuna series moja ilichezwa middle east ndio iliishia hapo so nikachanganya na TehranMiddle East ni series bro?
Itakuwa ni Tyrant bila kukosea, Ok sawa mkuuHapana nimemaanisha kuna series moja ilichezwa middle east ndio iliishia hapo so nikachanganya na Tehran
Yeah! Ndio iyo iyo 😃Itakuwa ni Tyrant bila kukosea, Ok sawa mkuu
Nipe recommendations za series zenye maudhui kama hizi hapa,Itakuwa ni Tyrant bila kukosea, Ok sawa mkuu
Mkuuu naomba kujuzwa kiasi kati ya FAUDA NA THE BUREAU IPI YA KUANZA KUISHUSHA WAKUUU MPANGILIO MZURINipe recommendations za series zenye maudhui kama hizi hapa,
Tyrant
Tehran
The Bureau
Fauda
CondorNipe recommendations za series zenye maudhui kama hizi hapa,
Tyrant
Tehran
The Bureau
Fauda
Hiv kali eeh maana season 1 niliimaliza kwa shidaKama kuna mtu ajaangalia OZARK nampa pole
Kama ulizipenda hiziHiv kali eeh maana season 1 niliimaliza kwa shida
Breaking bad niliielewa sana...Kama ulizipenda hizi
Breaking bad
Power
Narcos
Gomorrah
Ozark utaipenda zaidi ni moja kati ya series kali sana tunasubil mwezi wa 4 mwishoni tunamaliza season ya mwisho