Series (Special thread)

Sema if loving u is wrong nliona kama haina uhalisia sana ile movie....
 
Uhalisia gani tena ndugu wakati yale ni maisha yanayotokea hata bongo mzee that why wengi waliipenda iyo series ila kungekuwa na genre za sci-fi sijui fantasy hapo kweli
Sasa kweli Kuchepukiana kwa style ile mtu usishtukee tuu...
Unaujua ukweli bado unamgamda tu mtu...
 
Sasa kweli Kuchepukiana kwa style ile mtu usishtukee tuu...
Unaujua ukweli bado unamgamda tu mtu...
Hahahaha jamaa ni mtu wa ofisi yule mshikaji ni mwanasaikolojia so anaona wagonjwa maalum ila at the end waligundua.....Kuhusu kuchepuka ivo mbona hata bongo ipo tena wengine wanajua ila ndio ivo anapenda
 
Seasom 1 ilipooza sana nimeshindwa kuendelea
Hakuna kitu kupooza kwenye ulimwengu wa series na movies bali kuna kitu kutoipenda that why hukuendelea nayo maana series utakayoiona wewe nzuri lazima kuna mtu au watu wataiponda kwamba sio nzuri....So tupo tofauti sana
 
Kweli mkuu, ikoje hii?
Idea ni ileile ya dunia nzima kubwa na baridi kali sema huku ni issue sana ya uongozi yupi bora anayefaa kwa wananchi waliobaki duniani ndani ya iyo train so humo kuna jamaa mwenye iyo train anaitwa Mr. Wilford ambaye anapinduliwa na engineer wake anaitwa Melanie ambaye mda wote watu walijua iyo train ipo chini ya Mr. Wilford kumbe hayupo humo yupo kwenye train nyingine ambaye atakuja kuiteka train yake baadae na pia kuna mtu anaitwa Frederick yeye alikuwa kiongozi kwenye behewa la mwisho la maskini ambaye naye atakuja kuwa kiongozi atampindua Melanie lakini atakuja kupinduliwa na Mr. Wilford baadae then wataungana kundi la kina Frederick kumpindua Mr. Wilford wakati ile movie ni watu wa behewa la mwisho wanapambana na Mr. Wilford
 
Mkuu Baharia mweuc umefanya jambo lá mbolea sana
Nalog off
 
Mkuu Baharia mweuc umefanya jambo lá mbolea sana
Nalog off
 
NJIA RAHISI YA KUDOWNLOAD SERIES

1.INGIA GOOGLE

2.SEARCH JINA LA SERIES UNAYOITAKA NA SEASON NAMBA KISHA MWISHONI MALIZIA NA NENO INDEX

MFANO:GAME OF THRONES SEASON 1 INDEX
: POWER SEASON 3 INDEX
:BREAKING BAD SEASON 5 INDEX


HII NI NJIA RAHISI YA KUPATA SERIES YOYOTE UNAYOTAKA NA UBORA UNAOTAKA
 
Na njia rahis ya kupata subtitle zake unafanyaje mkuu
 
Tamthilia zote za tyler perry zina englush rahis sana tena sana.. Kama ukishindwa kuangalia series za terry perry bila subtitle bas una shida ya lugha
 
Mkuu naomba link ya ku downloadia hii gomorrah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…