Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Chukua huo mzigo kama unapenda mambo ya ujasusi, visasi mambo yanayahusu madawa ya kulevya na makundi yake ,humu kuna ukatili ,unyama, kuchinjanaKma kuna mtuu kaangalia hii
Vip iko vizuur?View attachment 2020249
Kitu gani hiko.mkuuu samuelChukua huo mzigo kama unapenda mambo ya ujasusi, visasi mambo yanayahusu madawa ya kulevya na makundi yake ,humu kuna ukatili ,unyama, kuchinjana
Mkuu series kali huanza taratibu, kama Canelo Saul Alvarez akiwa ulingoni.Peaky Blinders mbona Kama najiforce kuikubali hiviii...Season one siona maajabu yani au zinazofata ndo zipo moto
Ntaitafuta..
THE VEIL AU BLACK SUNKitu gani hiko.mkuuu samuel
Kama unataka series za kuwa addicted mkuu vuta kiti Kisha cheki hizi Kama hujawahi kuzitizamaMoney heist nimeipenda sana ushauri wakuuu series gan nzuri tena inaweza nifanya niwe addicted kma Money heist mliangalia series mingi ombi wakuuu
Korean DramaTHE VEIL AU BLACK SUN View attachment 2046010
Umeimaliza yote?FAUDA
Kumbe nayo ukali
Nipo season 3 episode ya 6Umeimaliza yote?
Anhaa! Poa komaa nayo ina story nzuri sanaNipo season 3 episode ya 6
Ila nimeielewa sana
Breaking bad haina mpinzani kwanye kugusa maisha ya sasa hivi nyakati za watu kukimbizana na shilingi ili kutatua yanayo wasibu. Nimeshaitizama mara 2
Shusha mapema sana uichekiSijawahi kuiangalia 24 vipi niitafute au niipotezee
S01 na S02, baada ya hapo hamn kitu humu. Huwezi kuwatoa main character kishkaji af utamu ubaki vilevile.
Kama mm tuu...Mkishaangalia mtatupa mrejesho maana sisi wengine tulishaacha kuangalia, hata ile waliyotoa episode 5 za mwanzo bado hatujamaliza
Namalizia hii SEE niruke nayo weekend hii. Watu wengi menishauri niicheki.
FAUDA....SupebView attachment 2047443
Internet ya ofisi , kitongaHii free wifi, cable au kitu gan maana hizi data sku hizi zivyokuwa deal?