Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,774
- 2,201
Poa BRO
Poa BRO
Iko dubbed? Au n original spanish?Iyo hapo mkuu
ZoteIko dubbed? Au n original spanish?
Nakubal mkuu, bando mzozo hata hivyo ngoja nikomae nazo baadhi.Zote
Poa mkuu zipo 5 tu so jikaze tuNakubal mkuu, bando mzozo hata hivyo ngoja nikomae nazo baadhi.
Ahsante mkuuIyo hapo mkuu
Pa1 mkuuAhsante mkuu
Bora kuimaliza tu sina namnaMkishaangalia mtatupa mrejesho maana sisi wengine tulishaacha kuangalia, hata ile waliyotoa episode 5 za mwanzo bado hatujamaliza
Breaking bad haina mpinzani kwanye kugusa maisha ya sasa hivi nyakati za watu kukimbizana na shilingi ili kutatua yanayo wasibu. Nimeshaitizama mara 2Inawezekana ukawa sahihi, maana hata breaking bad mwanzo ilinishinda..ila kila mahal inasifiwa ikabidi nikomae nayo, dah nilijilaumu sana kwann sikuiona siku zote.
Peaky Blinders nayo imenishinda episodes za mwanzo tu..
Breaking bad haina mpinzani kwanye kugusa maisha ya sasa hivi nyakati za watu kukimbizana na shilingi ili kutatua yanayo wasibu. Nimeshaitizama mara 2
Nimerudia breaking bad na prison brkSeason nilizorudia kuangalia x2
1. Breaking bad
2. 24
3. Prison Break
4. Fringe, na
5. Lost
Hiyo 24 ilinifanya niunganishe siku 1 na nusu ili nimalize season.
Moiraine and Lan find help in an unexpected - and unwanted - quarter, as the separated villagers try to find their way back to each other, or at least to refuge. But they all soon learn how far the Dark One's reach extends, and how few they can trust on the road.View attachment 2023433
Pamoja mzee umemuona professor lakinOi, aisee Ahsante sana hiki kifaaa ni extraordinary yaani una bonge moja la taste kwenye series hapa wote tuko hooked na hii kitu, Nimeona nije kutoa shukran...Thanks
Volume 2 tayari? Nimeishia tokyo kajilipua. Je kuna mwendelezo?Pamoja mzee umemuona professor lakin
Volume 2 tayari? Nimeishia tokyo kajilipua. Je kuna mwendelezo?
Nasemea professor yupo kwenye hiyo season ya wheel of a time anajiita Dragon rebornVolume 2 tayari? Nimeishia tokyo kajilipua. Je kuna mwendelezo?