Series (Special thread)

Hii series nimepoteza MB zangu ina scene nyingi za kisagaji.
 
Hahahah watu naona wanachanganya wakisikia professor wanajua Money Heist. Kuna na The wheel of Time pia
Hii series inazungumzia nini? Kuna Kitabu fulan nilikiona sehem kina title hiyo (the wheel of time).
 
Hii series inazungumzia nini? Kuna Kitabu fulan nilikiona sehem kina title hiyo (the wheel of time).

Yes hii imekuwa adopted kutoka kwenye kitabu sema kitabu sijakisoma ungekichukua watu wamesifia wamesema kitabu kizuri. Ni Fantasy flani kama Design ya GOT

Inahusu mwanamama yuko kwenye kikundi fulan cha wanawake wenye magical powers( wanawake kama wale amazonians wa wonder-woman kasoro hawa wako na wanaume) ambao wanawalinda vijana watano walioko kwenye safari, vijana hao inasadikika kuwa mmoja wao ni rebirth ya dragon ambae ana nguvu za kutosha either kuiangamiza dunia au kuikoa.
 
Breaking bad haina mpinzani kwanye kugusa maisha ya sasa hivi nyakati za watu kukimbizana na shilingi ili kutatua yanayo wasibu. Nimeshaitizama mara 2
Angalio pia Ozark Kama bado..familia moja inapambana kutakatisha mabilion ya dola waliyopewa na wauza madawa..Ni vievile Kama breaking bad..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…