Series (Special thread)

Series (Special thread)

Bro wewe umesema Peter Quinn KAMGONGA CARRIE au sio wewe? tuambie episode ya season ipi mbona unakimbia kujibu ilo swali unazungukazunguka 😂😂😂
kwani we si ndio ume prefer reddit as trusted source?

Mimi nataka twende huko huko reddit ambako wewe umekupa credit kua kuna fans wa homeland, nataka nijue je hakuna fans waliotoa maoni yanayosapoti hoja yangu?
 
Hili ni jibu la swali langu bro kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn episode ya season GANI? 😀😀😀😀

Basi nenda wewe reddit alafu uje na screenshot ya ushahidi wa kuwa Peter Quinn kamla Carrie
 
kwani hujui kusoma?

Quinn alikua ni nani yake carrie?
Wewe unaniuliza swali baada ya kukuuliza swali unatafuta pa kutokea kweli mtu mzima umeumbuka 🤣😆😆.

Wewe umeandika na kuonyeaha kuwa Carrie kagongwa na Peter Quinn so tuambie ni season ipi au leta clip? Na nimekuelezea huko juu kuhusu peter Quinn ni wapi KAMGONGA CARRIE?

Mbona unakimbia kujibu ilo swali?
 
Hili ni jibu la swali langu bro kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn episode ya season GANI? 😀😀😀😀

Basi nenda wewe reddit alafu uje na screenshot ya ushahidi wa kuwa Peter Quinn kamla Carrie
kwani aliyeanza kuleta screenshot za reddit as a evidence hapa ni nani?

Mimi nimekuuliza tu kua huko ulikochukua hiyo screenshot unahakika hakuna majibu yaliyo kinyume na hayo majibu kwenye screenshot yako?
 
Bro kama screenshots za reddit zimekukwaza nisamehe ila nimekupa uhuru nenda na wewe reddit leta infoz za kuonyeaha Carrie Mathison kagongwa na Peter Quinn season flani kwenye episode flani utetee hoja yako kwamba huyo demu anagongwa hovyo.

La sivyo kaa kimya au leta ushahidi hizo source za reddit achana nazo 🤣🤣🤣

NAULIZA HIVI SEASON IPI NA EPISODE IPI CARRIE KAGONGWA NA PETER QUINN?
 
Wewe unaniuliza swali baada ya kukuuliza swali unatafuta pa kutokea kweli mtu mzima umeumbuka 🤣😆😆.

Wewe umeandika na kuonyeaha kuwa Carrie kagongwa na Peter Quinn so tuambie ni season ipi au leta clip? Na nimekuelezea huko juu kuhusu peter Quinn ni wapi KAMGONGA CARRIE?

Mbona unakimbia kujibu ilo swali?
socrates method of questioning inaruhusu kujibu hoja kwa swali

swali langu linalojibu hoja yangu ni hili

huko ulikochukua hiyo screenshot unahakika hakuna majibu yaliyo kinyume na hayo majibu kwenye screenshot yako?
 
Hakuna bro kama unayo nipe ili niende nikaangalie tena season ambayo Carrie kagongwa na Peter Quinn au hutaki kuniprove wrong? 🤣🤣

Haya nenda kanipe reddit kanipe infoz kaka yangu mkali wa series za kijasusi na Legend wa series.

Basi jamaa atakuja kuuliza swali baada ya kumjibu ila yeye hanijibu maswali yangu
 
Hakuna bro kama unayo nipe ili niende nikaangalie tena season ambayo Carrie kagongwa na Peter Quinn au hutaki kuniprove wrong?

Haya nenda kanipe reddit kanipe infoz kaka yangu mkali wa series za kijasusi na Legend wa series.

Basi jamaa atakuja kuuliza swali baada ya kumjibu ila yeye hanijibu maswali yangu

Nimefatilia mabishano yenu tangu mwanzo mpk sasa naona jamaa ameshindwa kukujibu swali lako na Mimi nilikua nasubil ataje ni episode gani P quinn alimla carrie
 
Naomba uniambie kwenye significant peter quin amesimama kama nani yake carrie

1621932592790.png
 
Hakuna bro kama unayo nipe ili niende nikaangalie tena season ambayo Carrie kagongwa na Peter Quinn au hutaki kuniprove wrong? 🤣🤣

Haya nenda kanipe reddit kanipe infoz kaka yangu mkali wa series za kijasusi na Legend wa series.

Basi jamaa atakuja kuuliza swali baada ya kumjibu ila yeye hanijibu maswali yangu
Nenda huko huko reddit majibu ambayo yako out ya screenshot yako yamejibu vyema

Hii ni incomplete list wikipedia wameamua kumfichia aibu kuna vibopa vimekua excluded
1621933089135.png

Niambie uhusiano wa peter quin na carrie ni wa namna gani hapo?
 
Nimefatilia mabishano yenu tangu mwanzo mpk sasa naona jamaa ameshindwa kukujibu swali lako na Mimi nilikua nasubil ataje ni episode gani P quinn alimla carrie
Hawezi jibu hata kidogo huyo jamaa hajaangalia iyo series anagoogle tu then anakuja na screenshot zake ambazo zingine za uongo kama iyo Peter Quinn kamgonga Carrie Mathison mara Carrie Mathison anagongwa na mates wa CIA nimeuliza awataje anakimbia 😆😆😆
 
Kama wewe uliiona ulishindwaje kuona clearly errors ambazo ni complex kuliko 24?

1621934427202.png
 
Nenda huko huko reddit majibu ambayo yako out ya screenshot yako yamejibu vyema

Hii ni incomplete list wikipedia wameamua kumfichia aibu kuna vibopa vimekua excluded
View attachment 1797090

Niambie uhusiano wa peter quin na carrie ni wa namna gani hapo?
Why unijibu swali langu?

Nionyeshe hata huko reddit mtu aliyesema Carrie kagongwa na Peter Quinn basi mzee maana sijaona?

Hivi huoni aibu kwamba umeumbuka? 🤣😆😆 next time tafuta mtu ambaye hajaiona iyo series ili ukigoogle humdanganye sio mimi.

Maana maswali yangu hujibu umekimbia alafu unaniuliza maswali ili nikuhadithie wakati umesema umeiona?
Onyesha clip bwana hii ndio ushahidi kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn na hizi ni clips KATEMBEA na mates zake huna izo inabidi nikuache tu maana wewe ni type ya mtu umeumbuka mbele za watu badala ya kusema Sorry nimechapia, nimekosea au kiumeni unakaa kimya mbona inakuwa poa.
Sasa bado unagoogle na kuleta screenshots ambazo zimekudanganya....kweli?😂😂😂😂

Am done bro
 
Kama wewe uliiona ulishindwaje kuona clearly errors ambazo ni complex kuliko 24?

View attachment 1797106
Umeona ulivyo mtoto so kumbe umekubali umeumbuka.
Izo errors zipo nyingi sana kwenye 24 nenda kagoogle utaona uongo wake maana nilishamuelezea mtu huko nyuma alikuja akasema 24 huwezi ukakuta errors za kijinga akakaa kimya.
Series huzielewi mzee unapoteza mda tu
 
Why unijibu swali langu?

Nionyeshe hata huko reddit mtu aliyesema Carrie kagongwa na Peter Quinn basi mzee maana sijaona?

Hivi huoni aibu kwamba umeumbuka? 🤣😆😆 next time tafuta mtu ambaye hajaiona iyo series ili ukigoogle humdanganye sio mimi.

Maana maswali yangu hujibu umekimbia alafu unaniuliza maswali ili nikuhadithie wakati umesema umeiona?
Onyesha clip bwana hii ndio ushahidi kwamba Carrie kagongwa na Peter Quinn na hizi ni clips KATEMBEA na mates zake huna izo inabidi nikuache tu maana wewe ni type ya mtu umeumbuka mbele za watu badala ya kusema Sorry nimechapia, nimekosea au kiumeni unakaa kimya mbona inakuwa poa.
Sasa bado unagoogle na kuleta screenshots ambazo zimekudanganya....kweli?😂😂😂😂

Am done bro
Hiyo michambo kwangu bado naiona kama ni pumbaaa tu

nilipoitoa hii
1621936830859.png
ndio huko huko ulikotoa wewe hii
1621936779873.png

kwa hiyo unaposema kua nimedanganywa unakua unajipaka tope mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom