Series (Special thread)

Ni nzuri tatizo ma executive writers bwana Harry and Jack Williams wamesema hakutakua na season 2 hivyo kuingalia na kukatishwa utamu inaboa. Ni nzuri, Kate Beckinsale ndio first role yake kwenye series
 
Dah ni bonge la series mkuu ..sasa kwanini wamekatisha? Sema ilivyoisha muendelezo wake ni kazi kweli kweli..
 
Wakuu hamjambo,natafuta hizi series,
The haves and the have nots,hii nimeicheki mpaka episode ya 10,msimu wa Kwanza,njia ya kutafuta episodes zingine zimegoma kabisa.
Nyingine ni saints and sinners,hii nimeshindwa kuipakuwa kabisa,
Inakaa muda mrefu kwenye bittorrent bila kuanza upakuaji,
Msaada tafadhali.
 
Saints and sinners season 1,link yake hiyo hapo.. Zilizobakia utakuwa unazi search kama hiyo ya kwanza

The haves and the have nots nenda telegram maana series za perry ngumu kuzishusha kupitia torrent
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…