Series (Special thread)

poa kaka ngoja ntaicheki
 
Inavutia na mm acha niicheki.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Last Kingdom kiukweli nmeshindwa kuielewa alieangalia yote anipe review kidogo.
Inahusiana na kuzaliwa kwa ufalme wa England. King Alfred of Wessex ana ndoto ya kuwa na kingdom moja itwayo England ambayo itaunganisha kingdom zote ambazo zinaongea kingereza na wana dini ya kikristo.

Kwa upande mwingine kuna hawa Danes ambao ni watu ambao hawajastarabika na hawana dini wala kingdom maalum. Wao ni wanahama hama kutafuta chakula na makazi. Katika utafutaji wa chakula na makazi ndio inasababisha mapigano ya hapa na pale kwasababu wanavamia kwenye vijiji ambavyo viko chini ya kingdom flani. Wao pia ni watu wa visasi, wakipigwa kwenye vita wanatudi kujipanga tena watarudi kupigana.

Kuna Kingdom ambazo hazitaka kabisa kuwa na hiyo one kingdom (England) chini ya watu wa Wessex wakiamini wenyewe ni powerful na wanajiweza.

Kwahiyo kwa kifupi inahusiana na vita vya ufalme kuweza kufikia one great kingdom England. Ni mzuri ukitulia kuingalia. Kwasababu haishi matukio.
 
Tamu sana hii,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…