24 ni series kali Sana.24
Arrow
Revolution
Naisubiei CSI:Cyber inaanza march 2015
24 ni series kali Sana.24
Arrow
Revolution
Naisubiei CSI:Cyber inaanza march 2015
Huwa naangalia online mkuu netflixNaomba link yake mkuu
Huwa naangalia online mkuu netflix
Niko season 3 episode 4 ila bado sioni moto unaozungumziwa ngoja niivumilie labda mbele iko vizuri mana hata Vikings mwanzon inaboa ila mbele ni motoKama yupo ambae hajaangalia peaky blinder
Aangalie bonge moja la series
Kuna watu walisema imepooza humu nikawaambia kwenye series mnaangalia matukio na sio kuelewa series so katafuteni series za kikorea ambayo unaweza ukaangalia huku umemute sautiKama yupo ambae hajaangalia peaky blinder
Aangalie bonge moja la series
Ahahaaaaah!Niko season 3 episode 4 ila bado sioni moto unaozungumziwa ngoja niivumilie labda mbele iko vizuri mana hata Vikings mwanzon inaboa ila mbele ni moto
Hapo hadi kafika hapo na hajaona kitu Basi hajaielewaAhahaaaaah!
Nyie watu mnanichekeshaga sana!
Mie niliielewa cema walizingua pale alivokufa grace Shelby afu huu mzigo aufai kucheki na watoto full minyanduoHapo hadi kafika hapo na hajaona kitu Basi hajaielewa
Hahaha Basi umekosa uondo huko mbele mzeeMie niliielewa cema walizingua pale alivokufa grace Shelby afu huu mzigo aufai kucheki na watoto full minyanduo
Mzee nilikomaa nayo paka mwisho mbeleni ni nzuri sanaHahaha Basi umekosa uondo huko mbele mzee
Mi nliianza nkajaga kuipotezea. Nasubiri zangu Seal team watoe new seasonHii breaking bad nipo season ya kwanza episode ya 7 lakini naiona kama imepoa vile
Niko season 3 episode 4 ila bado sioni moto unaozungumziwa ngoja niivumilie labda mbele iko vizuri mana hata Vikings mwanzon inaboa ila mbele ni moto
Kaka unazingua iyo kitu ni yamoto mie nimeirudia mara 3 ya kwanza 2015 ,2016 ,2020 hii ndo season kalii ya muda wote tokea dunia iumbweHii breaking bad nipo season ya kwanza episode ya 7 lakini naiona kama imepoa vile
Kaka kama ujui English uweZi kuelewa muvi za drama hata kidogoMi nliianza nkajaga kuipotezea. Nasubiri zangu Seal team watoe new season
Kwangu mimi hi breaking bad niliipenda sana haina action ila iko na visa vizuriHii breaking bad nipo season ya kwanza episode ya 7 lakini naiona kama imepoa vile
Bro, At. Marry's Jr, FK, Alpha, Loyola. Like seriously?Kaka kama ujui English uweZi kuelewa muvi za drama hata kidogo