Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,095
- 10,409
Je unakuwa online au watakt unachek ambazo umezishusha tayrUnafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza
Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha
Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"
Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne
View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
Nataka niaze money heistHapo kwenye Dark nakuunga mkono mzee
Vip DARK NAYO IKO FIRENataka niaze money heist
Mkuuu vip money heist na dark ipi kali maaana nataka kuanza moja wapoKweli mzee hata mimi naiweka kwenye top 10 zangu aisee maana sijawahi angalia seasons 3 kwa speed niliyoangalia hii
Imetulia sana nimeishia episode ya 5 kutoka mobiletvshowsView attachment 1588616
Mziki huu hapa...twende sawa!
Mkuuu vip money heist na dark ipi kali maaana nataka kuanza moja wapo
ChekiUnaefuatilia series za wezi au za plan za akili anisaidie apaa
Ukimaliza Narcos angalia Narcos: Mexiconacheki Narcos ila sipend kuona pablo hanakwamihswa na yale majamaa
Aah frexh mzeeCheki
Sneaky Pete
Animal Kingdom
Dah! Bonge la series aisee na uyo mzee humo kacheza Sana nilikuwa napenda harakatii zake za kutafuta hela ili apige mtungi 😆😆😆Kama ni comedy mimi sikomi kuitazama na kuirudia tena na tena TV series ya SHAMELESS Season 1-10 na sasa naisubiria season (11) ya mwisho ambayo ipo kwenye maandalizi soon itaachiwa hewani, japo kuna promotion kubwa ya maubwabwa na usagaji inafanyika humo lakini nimeipenda sana hii kitu. View attachment 1595546
Story mbili tofauti mzee so anza uitakayo ingekuwa inahusu kitu kimoja ningekwambia ipi ni nzuri ila zipo tofauti cha kukushauri kama wewe ni fuata mkumbo wa kuangalia series zenye actions tu na sio kuelewa series kwa umakini basi achana na Dark coz inahitaji umakini mkubwaMkuuu vip money heist na dark ipi kali maaana nataka kuanza moja wapo
Sijui wengine mkienda telegram mnapataje series ila Mimi naandika kwenye search pale jina la series kwa mfano Tehran kama picha inavyoelezea then unaingia hapo kwenye sehemu niliozungushia kwa rangi nyekundu ukifika humo click izo link utakuta episodes na subtitles zake so nimepata kuanzia episode ya 1 mpaka ya 5 zikiwa zina subtitles za english so hizi 3 zilizobaki ambayo kuanzia ya 6 mpaka ya 8 ndo hazina ila nitajua wapi pa kuzipata ila nikizipata subtitles zake nitashareBaharia, nisaidie link! Jamaa katupia za kiarabu! Nimesearch English subtitles nimekosa!
Dah! Bonge la series aisee na uyo mzee humo kacheza Sana nilikuwa napenda harakatii zake za kutafuta hela ili apige mtungi
Nimeangalia mwanzo mwisho hii series.
Bonge ya TV show aisee. Naipenda sana...Katisha Sana mzee alafu Kuna muda familia inaunganika kwa pamoja hata kama Kuna mabeef ya wenyewe kwa wenyewe kutetea jambo fulani la familia yao ya Gallagher na ni moja ya series unique ya kimarekani inazungumzia life ya hao weupe kusini mwa chicago lakini hadi kwetu maisha hayo yapo asa familia za uswazi baba cha pombe na mama haeleweki na watoto mnajikuza wenyewe..... Ngoja tusubirie season ya 11 ambayo ni ya mwisho
Ni SHAMELESS au SHAMELESS US...Naomba unisaidie na link tafadhali kama hutojali.Bonge ya TV show aisee. Naipenda sana...
SHAMELESS US mkuu mimi huwa sitazami online nadownload https://zooqle.com/tv/shameless-qgz/ utapata Season 1 to 10Ni SHAMELESS au SHAMELESS US...Naomba unisaidie na link tafadhali kama hutojali.