Series (Special thread)

Acha wivu
 
Nisaidie link ya hii mkuu
 
Huyo mama hakufa pale na pia alimind why amekuwa loyal kwa Raymond but kitu kidogo iko Cha kumtoroshaa Elizabeth iwe sababu ua kifo chake ndo utata unaana hapo.
Issue ya Raymond kuua na why hakamatwi Ni sawasawa na kuona kwenye kampuni Kuna mtu anagombana na wafanyakazi wenzake au ana tabia sizo Ila kwakuwa uchapakazi wake ndo unafanya kampuni iwe hapo ilipo basi hawana namna ndo ivo ivo kama Raymond akifa iyo team ya FBI yote itafutwa na pia marekani haitawakamata blacklisters wake na kuwa tishio that why wanamuacha Ila mbele huko atakabiliwa na kesi na kusimama yeye ka yeye kama wakili bt atashindwa na kuhukumiwa kifo cha kuchomwa sindano ya sumu bt unafanyika mchongo huo wa kumuokoa
 
natafuta series kali ka fauda vile yani yani mishe kali kama 24, wadau ebu nisaidieni iwe na harakati kama queen of the south n.k
 
Kwakweli alitisha sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…