Series (Special thread)

Dah! Nilichopenda hii series kila season inayofuata inakua kali kuliko inayofuata sio kama designated Survivor season ya kwanza ni kali kuliko ya 2.
Kwa mfano hii Fauda s03 imefunika seasons za nyuma maana kuna mission moja ya kwenda Gaza ni balaa aisee na nimejua why Israel wanaiogopa Gaza
Baharia unaidownload Fauda kwa kutumia link gani asee, naisaka hii makitu. Help pse!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mm nilidownload hadi season 4 nika delete zote , hakuna kitu pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu season gani umefuta manake mimi nimekutana na sifa za breaking bad hum nikashusha s1 lakin hakuna maajabu au ndo hii manake nafkiria nishushe s2 labda itachangamka.niambie kama sio niachane nayo nishushe hiyo fauda nayo nione wengine tumezoea mikiki mikiki.
 
Dah! Nilichopenda hii series kila season inayofuata inakua kali kuliko inayofuata sio kama designated Survivor season ya kwanza ni kali kuliko ya 2.
Kwa mfano hii Fauda s03 imefunika seasons za nyuma maana kuna mission moja ya kwenda Gaza ni balaa aisee na nimejua why Israel wanaiogopa Gaza
Wanaongea English au mpaka subtitles? Maana nimejaribu kuchek info zake naona language ni Arabic & Hebrew.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu season gani umefuta manake mimi nimekutana na sifa za breaking bad hum nikashusha s1 lakin hakuna maajabu au ndo hii manake nafkiria nishushe s2 labda itachangamka.niambie kama sio niachane nayo nishushe hiyo fauda nayo nione wengine tumezoea mikiki mikiki.
Breaking bad season 1 nimichosho endelea season 2 & 3 na kuendelea ndio utailewa zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi badala ya kuona humu inasifiwa nimeshusha season 1 mpaka nimeimaliza siajona maajabu imepoa sana sasa sijui mnaipnedea nini au nivumilie nishushe na s2
Nakuomba sana endelea nayo kibishi lakini pia tazama kwa umakini..
Season 1umetambulishwa yafuatayo:
1. wahusika..mzee mwenyewe na kijana wake
2.wameanza kutengeneza madawa adimu Sana marekani (blue meth)
3.polisi wako makini wamegundua Kuna madawa aina mpya inayokubalika Sana marekani..wanaanza kutafuta mtandao wake..anayeongoza msako wa kimya kimya Ni shemeji mzee..(fatilia uone shemeji polisi anavyomsaka mme wa Dada yake bila kujua..pili mzee wa madawa atafanyajeje kumzima polisi-shemeji
4.umeanza kuona familia ikianza kuyumba kutokana na mwenendo wa mzee kujihusisha na wahuni..

Mbele Kuna mengi Sana huyu mzee alijikuta kwenye mtego mbaya Sana wa madawa (mauwaji..ubabe.kusakwa na polisi..kusakwa na wahuni hasa wa mexico..familia kuingia kwenye matatizo n.k

Endelea na breaking bad..ujifunze mambo mengi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Homeland wameimaliza kiboya sana...

Wakuu naomba series ya karibuni yenye heka heka za kutosha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom