Series (Special thread)

Kwa sasa napata wakati mgum wa Ku download series,kipindi cha nyuma nilikuwa nashusha kwa PC kupitia limetorrent lkn sasa inagoma,msaada site ya kudownload series wadau

Sent using Jamii Forums mobile app

Pakua telegram kwenye pc yako then pitia hizo links nilizoweka hapo juu. Telegram ina downloading speed kubwa sana kuliko terent
 
Hii kitu hata mm nimejiuliza, series inakua kama ya kikorea sasas

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wameufanya upande wa serikali kuwa wa kiboya sana. Yaani vitengo vyote vya serikali hakuna hata mtu mmoja wa kum-challenge Proffesor?? Naikubali Money Heist ila hii season 4 ni kama wameishiwa story. Wamerudia yale yale ya season 1.Ila Gandia ndiye alieleta changamoto kidogo. Zaidi ya hapo sijaielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Netflix wanatabia ya kuua actors wazuri kwenye siries zao sijui kwanini, wameniuzi Sana walivyo muondoa Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Season 4 imekuwa ya kiboya sana
..
Mi mwenyewe Gandia kanifurahisha sana..
 
Mkuu ivi prison break imefika season ya ngap?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…