Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa anae fahamu series nzuri za love story like if living you is wrong, Banshee nk. Aweke list hapa kwasasa na wish ku watch series zisizo umiza kichwa sana.
 
Being MaryJane
Too close to home
Famous in love
Sistas
Jane the virgin
Cherish the day
Virgin river
Sex education
 
Mkuu naomba kuuliza inawezekana ku copy Movie kutoka Telegram? mfano nimedownload series ya money heist nataka niweke ktk flash, nimejarib naona inatoka Sauti tu, ila nikiangalizia ktk Telegram inaonyesha fresh.. ka inawezekana una copy vip mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Zile za Telegram zipo katika format ya .mkv hivyo kama kifaa chako hakina uwezo wa kuplay media zilizo katika mfumo .mkv yakupasa u convert kwenda .mp4 ndio uweke kwenye flash.
 
jason bateman and martin freeman wanafanana sana
1586159892646.png

1586159968410.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom