Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu hii korona inanifanya nirudi kwenye series sasa

Mwenye kujua series nzuri ya kikorea na link yake atanisaidia sana
 
Watu wengi sana walioanza kuiangalia 24 au wanaopenda action huwa wanapata tabu sana kuangalia series za stori mingi mingi
Ozark ina bonge moja la stori mfano wa breaking bad
Ozark nilianza kuiangalia nikaona imepoa sana, nimeiweka kiporo... Breaking bad ni kali mkuu, sema inahitaj uvumilivu kidogo mwanzo imepoa
 
Ozark nilianza kuiangalia nikaona imepoa sana, nimeiweka kiporo... Breaking bad ni kali mkuu, sema inahitaj uvumilivu kidogo mwanzo imepoa
Mkuu komaa nayo tu utaielewa
Huko mbele utafurahi na roho yako jinsi kuanzia Marty mwenyewe , mkewe na mtoto wao wa kiume watakavyokua mamafia
 
Kwa anae fahamu series nzuri za love story like if living you is wrong, Banshee nk. Aweke list hapa kwasasa na wish ku watch series zisizo umiza kichwa sana.
mkuu unaweza nitumia link ya if loving u is wronh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom