Duuh,hiyo "The americans" nimeangalia episode 5 naona imepoa sana!Naona kama haina story ya kueleweka!
Sasa si iko season moja tu?Tena ina episodes 10,nami niko ya 5!Endelea nayo tu.. Hiyo series ni noma mzee, mwenyewe mwanzon kidogo niiache
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si iko season moja tu?Tena ina episodes 10,nami niko ya 5!
kwa simu tumia toxicwap.com tumia opera mini kwa chrome itakupa shida kidogoNaombeni site ya ku download series wakuu
Nimejaribu kutumia Todaytvseries, niki click sehemu iliyoandikwa Download vinakuja vitu vingine (sijui ndio ads?)
Nipeni maujanja ya kudownload, hii Corona bila series maisha yatakuwa magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia EZtv torrent haina usumbufu, quality nzuri unachagua ukubwa unaoutaka kulingana na urefu wa kamba yakoYaani nakuwa kama nimeingia kwenye website nyingine (University Best America Edu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki hapo bado siku chache tuWadau kun mwenye taarifa kuhusu Netflix waniachia lini Money Heist (La casa de papel)season 4 View attachment 1393047
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimi tu. Hata hivyo narudia kuiangalia,jana nimeanza season 1 episode 1.
Hapo nasubiri Money heist na the 100 s07
Yeah too bad imekatishwa na haitoendelea tenaNaikubal INTO THE BANDLANDS
Nimeangalia episode moja iko vizuri inahusu true story ya Godfather of Harlem miaka iyoNa waambia tenaa saiv kaaa tuliaa angalia hii series ni nzuri hutojutia mda wako
View attachment 1394119
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni site ya ku download series wakuu
Nimejaribu kutumia Todaytvseries, niki click sehemu iliyoandikwa Download vinakuja vitu vingine (sijui ndio ads?)
Nipeni maujanja ya kudownload, hii Corona bila series maisha yatakuwa magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii list ipo vizuri kuna nyingi nazikubali hapo ongeza na hizi 1. Dexter 2. Mad men (hii ipo kiuhalisia sana kama the wire ) 3. STRANGER THINGS 4. Prison break 5. Narcos 6. Tyrant 7. Banshee 8.lostMy Best TV Series of all time. Utakuja kunishukuru.
1. Breaking Bad
2. Homeland
3. The Wire
4. Game of Thrones
5. Sons of Anarchy
6. The Americans
7. 24
8. House of Cards
9. Sherlock
10. Ozark
11. The Killing
12. Fargo
13. Vikings
14. The Handmaid's Tale
15. The Walking Dead
I'm the number one fan of drama, crime and mystery series. You will never be disappointed with my list.
Sent using Jamii Forums mobile app