Series (Special thread)

Mkuu hata arrow hujacheki??? Hata hostage??? Zitafutee mkuu
mkuu mimi napenda series ambazo kuna jokes,mapenzi,politics,intelligence,kuwe na blacks ndani.

series kuna marobot mwanzo mwisho siziwezi,mfano legend of the seeker siikubali kabisa,sijui suprano siikubali
 
Nilikuwa nimeiacha but now naendelea namuona Walt amerejea kutoka hospital tatizo m unapenda ancient stories movies kama game of thrones, davinci demons,,Spartacus,cross bones na action series pia ka prison break,24 n so on but ancient stories ndo huwa choice zangu
spartacus siipindi niliiangalia tu kwa vile sina la kuangalia kwa wakati huo
 
Revolution mwanzoni hainogi ila imenogeshwa na huyu jamaa
gusfring.jpg

Giancarlo Esposito, ananifurahisha sana..Gustavo Fring's Character aliyoicheza Kwenye Breaking Bad was best ever. Naisubiri "Better Call Saul" on February 2015 niskieskie harufu ya Breaking Bad tena,
 
mkuu mimi napenda series ambazo kuna jokes,mapenzi,politics,intelligence,kuwe na blacks ndani.

series kuna marobot mwanzo mwisho siziwezi,mfano legend of the seeker siikubali kabisa,sijui suprano siikubali

katika orodha ya mkuu atato series ukiondoa ulizoziona zenye merits zako ni cris,hostages,missing, traveller, homeland security na revenge kuna hizi pia the 100 na arrow wametumia siraha za kisasa na kizamani lakini kuna ambazo zimesitishwa hazitakuwa na mwendelezo :- the crisis, missing, hostages na traveller for my advice take homeland security,the 100 na revenge
 
arrow ni nzuri ina hivyo unavyohitaji, hata hostages, crisis pia
 
katika orodha ya mkuu atato series ukiondoa ulizoziona zenye merits zako ni cris,hostages,missing, traveller, homeland security na revenge kuna hizi pia the 100 na arrow wametumia siraha za kisasa na kizamani lakini kuna ambazo zimesitishwa hazitakuwa na mwendelezo :- the crisis, missing, hostages na traveller for my advice take homeland security,the 100 na revenge

uwiii jamani nilivyokuwa naisubiri crisis na traveller kwa hamu kumbe ndio zishasitishwa
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom