Series (Special thread)

hahaaaa!! fiction inanogesha movie ati, ila mwisho wa cku anakamatika, ninaipenda sn nikita, haswaa njia walotumia kumkamata amanda

inaonekana ipo bomba sana cos unaisifia. Ipo mpaka namba ngapi? Niitafute?
 
If you're crazy with those drag cartel stuffs, then you shouldn't mess The Wire & Power! Lakini kwa The Wire, kama unataka kuifuatilia vizuri basi download na subtitles unless kama upo full equipped with slang... the same with Power ingawaje slang kwenye Power ni ya kawaida ukilinganisha na ile ya The Wire.

Power naisubiria itoke season two aseeeee...."now I'll be the biggest gadamn drug dealer in NY"
 
Sema Hollywood siku hizi wanatuzingua sana na hizi series zao za episode chache chache...

Na kinachokera episodes 11 series imeisha,halafu unakaa kuisubiri season ingine kwa muda mrefu...wanaboa.

Hata sahivi nafatilia blacklist season 2,arrow s3,VD s6 na the originals s2,wananikera unakuta wameshuti episodes nne halafu zile zingine unakuta unasubiri kwa hata mwezi ndo inaanza kutoka tena.kama sasa zimesimama mpaka nakereka.
 
Wabongo walivyo noma, Prison Break imefika hadi Season 11... hapa ndo niliacha kununua DVD Kariakoo... miaka michache iliyopita nilikuaga fa'ra kwahiyo nilikuwa nanunua moja kwa ebay (but very expensive) na niliposhitukia masuala ya kushusha mwenyewe, thanks God... na ukiwa TZ kusikokua na sheria unashusha idadi utakayo!!!

Mm zilinikoma wakati bado kuna PD proxy daaah....nilikua nashusha season nzima nzima kwa zile ambazo ndo nkua naanza zitazama na zipo torrent
 
Ninapo angalia series za rome huwa najaribu kupata picha halisi iliyo kuwepo wakati hua, japokuwa sio kila kitu ni kweli ila zinafundisha mambo mengi tu ya wakati huo.

Hauna interest na SPARTACUS au aina hii ya series, mie nnapenda sababu nnajifunza.

Hizo labda ngono.
 
Mie list yangu
1.lost (ndio naikubali sana)
2.24 .....yaani hakuna kulala
3.game of thrones ni hatari sijapata kuona
4.breaking bad iko vizuri
5.The Americans kama unapenda za CIA na KGB

Nmeangalia nyingi sana kama walking dead,under the dome,suits,homeland,traveller, the events,personal of interest, one tree hill,Spartacus, Rome,sopranos,every bad hates Chris, iris,revolution,greys anatomy, the secret life of american teenagers

Siri ya mtungi ni zaidi tuijuavyo bongo ile imetengenezwa na watu wa Hollywood.
 
hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo
 
Dah... sipati picha Power Season 2 itakuwaje!
  • Kanan (50 Cent) analeta u-snitch unaosababisha Ghost/James St. Patrick kum-shoot his best friend Rolla who's also very royal to Ghost! Kanan mwenyewe at last anakuwa free bila shaka huku akitarajia huenda Ghost got the hit and he's dead. What will happen pale Ghost atakapogundua kwamba Rolla hakuwa na kosa bali ni chezo la mshikaji wake mwingine Kanan and it's Kanan who's behind their attacks!!!!
  • Tommy's sketch is partially sketched... what ikishakuwa full sketched na Angie kufahamu by mistake, kumbe Ghost ni Tommy, James St. Patrick's Partner.
  • What will happen pale Tommy atakapopata nafasi ya kumvutia wire Ghost na kumwambia kwamba his love, Angie, isn't an assistant attorney as she claims to be bali ni Kachero anayemtafuta Ghost!!!

Hapa chini ni picha zilizopigwa Miami for second season ambako Ghost ana mpango wa kufungua a new Night Club:
View attachment 214210

Mbona kama Angie anatembea kimachale machale? Tommy keshashitukiwa nini, and eventually real Ghost? What about Ghost... nini anajaribu ku-achieve? Ni kwamba bado Tommy hajamweleza Ghost kwamba Angie ni nyoka, au? Kama hajamweleza, why?

Season two ni full on conflicts... not among drug dealers but among friends/lovers... Ghost vs Angie, Ghost vs Kanan. Bila shaka proposal ya Tommy kwa Ghost kuhusu Angie itakuwa sawa na ile aliyoitoa dhidi ya Rolla... kill her or I do it myself... will Ghost dare to do it?

Hiii kitu nimeipenda sana aseee.....can't wait
 
hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo

The event ilisitishwa kabisa na under the dome season 2 ina episode 13 imeisha tunasubiri season 3 ni real sio ya kuchakachua
 
hv the event inaendelea kweli?
person of interest nayo nzuri, under the dome ni kweli imefika2 au ndio uchakachuzi wa wabongo? mie niliinunua nairobi sema na wao wachakachuzi tu km bongo

Ni mbili kweli....event ilikatizwa
 
Mie list yangu
1.lost (ndio naikubali sana)
2.24 .....yaani hakuna kulala
3.game of thrones ni hatari sijapata kuona
4.breaking bad iko vizuri
5.The Americans kama unapenda za CIA na KGB

Nmeangalia nyingi sana kama walking dead,under the dome,suits,homeland,traveller, the events,personal of interest, one tree hill,Spartacus, Rome,sopranos,every bad hates Chris, iris,revolution,greys anatomy, the secret life of american teenagers

Siri ya mtungi ni zaidi tuijuavyo bongo ile imetengenezwa na watu wa Hollywood.

Mkuu wewe ndo una interest ka zangu for me game of thrones hata subtitle haipiti bila kusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom